Wanaume wanataka nini?

Mimi nahitaji mtu anayejitambua kwanza kwamba yeye ni MWANAUME,mwenye promising future,mkweli na muwazi.....anajiheshimu na kuheshimu wengine

Subiri Yesu atakaporudi. Vinginevyo wahi kanisani ukawe mtawa....
 
Subiri Yesu atakaporudi. Vinginevyo wahi kanisani ukawe mtawa....

Asprin hawezi kwenda kanisani Au kusubiri mpk Massiah arudi, hizo sifa anazohitaji ktk MWANAUME, Mimi nimetimiza zote nakuzidi!

Khantwe luv u so much swty!
 
Last edited by a moderator:
Si kweli mkuu,, actually njia rahis ya kubuild trust kwa mwanaume ni kumkea kama ulivyoainisha,, atakuachia kila kitu hadi atm card,, huyo unaemzungumzia ww hajui anataka nn.. lkn dunia ya leo wanawake nao wanataka equal rights akipika leo, kesho zam ya mwanaume..mwanaume akikaa baa leo na yy anatak hivyohivyo,, hakuna trust wala love, ni kutii tu tamaa za mwili
 
Wanaume huishi maisha halisia . Nyie ni waongo wasiri, huku mnasachi walet huku mnawapanga wenzetu kama timu ya Ujerumani mkidhani upande wa pili hauji. Badilikeni kwanza.
 
ukiona unamfanyia kila kitu & things r nt working,jua huyo sio wako just end the relationship,kama u were meant 2 b together hata mapungufu yake hutayaona au utayaona ya kawaida,kila kitu utaona kiko perfect
 
ukiona unamfanyia kila kitu & things r nt working,jua huyo sio wako just end the relationship,kama u were meant 2 b together hata mapungufu yake hutayaona au utayaona ya kawaida & hatakufanyia vitu vya kukukera,kila kitu utaona kiko perfect
 
Asprin hawezi kwenda kanisani Au kusubiri mpk Massiah arudi, hizo sifa anazohitaji ktk MWANAUME, Mimi nimetimiza zote nakuzidi!
Khantwe luv u so much swty!

Thanx my husband....thanx for being mine. Luv u too
 
Last edited by a moderator:

Kuna watu hawana shukrani hata chembe believe me....
 
Wanawake mnaoishi maisha mazuri ndo mnaolalamikia wanaume lakini wale wa uswazi wanajua wajibu wao na siyo kibri kama ninyi,
MWANAMKE unarudi kutoka kazini hata hakupokei misa eti amechoka, usiku unalala kwa kugeukia upande mwingine,
 
Mimi wa uswazi sana tu mkuu...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…