Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Ngumu sana hiyo, habari ya kumenya ndizi/viazi na kucha ndefu ataweza wapi...kila kitu Ni kwa msaidizi wa nyumbani.

Lskini pia ushukuru kupata mke aliyeko vizuri chumbani na jikoni, ni rare sana.. Kama,ilivyo vigumu kupata mwanaume aliyeko vizuri chumbani na kwenye ATM.

ATM ndiyo muhimu
 
na baadhi ya wanamme wanalilia napochopocho, na hawaachi hata hela ya chakula. Sasa mama achakarike kusaka mahela na awahi kuja kupika.

Michango ya wanaume humu unadhani ni ya kuchukulia serious...

Hapiki mtu na ole wao hizo nyumba ndogo tuzijue....


Home mnafika wote saa tatu upike saa ngapi?...na house helper afanye kazi gani?

Kama walitaka mpishi hawakujua wamuoe nani?
 
Me nikajua utaweka picha ya wali nazi...tena ule wali wa mchele robo nazi saba...na kitu cha samaki juu...
Kumbe chipsi...mwee...hizo chipsi ndo unamlisha mumeo? Na hao kuku walokosa malezi ya baba?
Basi usije kuleta malalamiko humu... oooh tukiwa tunaenda mbagala ananiacha Tandika......!

Kwaiyo wee umeona chips tu apo uo wali ujauona ugal, pilau...embu angalia vizur nmetupia vyote mbonaa
 
Me nikajua utaweka picha ya wali nazi...tena ule wali wa mchele robo nazi saba...na kitu cha samaki juu...
Kumbe chipsi...mwee...hizo chipsi ndo unamlisha mumeo? Na hao kuku walokosa malezi ya baba?
Basi usije kuleta malalamiko humu... oooh tukiwa tunaenda mbagala ananiacha Tandika......!

Vyote ivyo nmeviweka asa naona weye umeona chips tuu
 

Attachments

  • 1406528229079.jpg
    1406528229079.jpg
    29.7 KB · Views: 110
  • 1406528254429.jpg
    1406528254429.jpg
    33.8 KB · Views: 105
Kuna mtu umemliza nini? Ndo unamwambia sababu!?
 
Michango ya wanaume humu unadhani ni ya kuchukulia serious...

Hapiki mtu na ole wao hizo nyumba ndogo tuzijue....


Home mnafika wote saa tatu upike saa ngapi?...na house helper afanye kazi gani?

Kama walitaka mpishi hawakujua wamuoe nani?

He he he he he ...........

mwanamke wa kihaya huyo at her best........
 
hua mi mwenyewe binafs najiskiaga raha sana nikimpikia mpnz wng napka kwa mahaba yooote
 
niseme tu ukweli mke wangu nilimwoa sababu anajuakupika akiingia jikoni huwa nakuala wanawake wote nliokuwa nao hawakunijulia ila huyu binti wa kingoni alinimaliza kabisa anapika jamani...
 
niseme tu ukweli mke wangu nilimwoa sababu anajuakupika akiingia jikoni huwa nakuala wanawake wote nliokuwa nao hawakunijulia ila huyu binti wa kingoni alinimaliza kabisa anapika jamani...

Umeonaeee, waelezeee hao kina bi midomo juu na mikucha kama msukule, mikopee mmmm utadhani kichane cha kutii. WANAUME MSOSI KWANZA 6X6 HATA uwanja wa fisi upoo
 
Back
Top Bottom