Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Samahani lakini nani amesema kama hizo ni kazi za mwanamke?

Kwani wewe mume huwezi kufanya?

mimi ninaziheshimu taratibu na mila za kiafrica na nazipa kipaumbele kabla ya kuchukua elimu mpya ya usawa kwa kila kitu kutoka ughaibuni.
Anayoyasema mleta mada wengine tumekuwa tukiona wazazi wtu wakifanya tena bila manung'uniko wala kuhisi wanadhalilishwa tena wakifanya kwa furaha tena wakiwafundisha watoto wa kike. Mwanaume anawajibika pia kwa nafasi na majukum yake. Ila suala la kuchepuka sikubaliani kabisa.

ila ukumbuke kama unapenda kupikiwa, kufuliwa na koshewa vyombo na mume wako nyumbani sio vibaya sijui wew ni unaishi kwa culture ipi.
 
Dunia ya leo ambyo wanaume mnataka wanawake wasomi,wafanya kazi,au hata wenye kujishughulisha msahau kabisa huduma za baba zenu.tunaamka wote kwenda kazini,kodi ya nyumba.ada za watoto zote tuchange and then you have guts to ask me why soksi zangu hazijafuliwa?au ile suruali iko wapi?dude come on,tununue mashine tukitoka jioni kazini kaa fua na kunyoosha nguo za kesho mi nipike na kufanya usafi chumba.mnatuchosha kutufanya sisi mashine.altenatively wanawake wakae full time nyumbani to attend all the duties then you get to pay for each any everything including her personal expenses.mnataka treatment za kifalme wakati you dont treat your women like queens..?na mtakula take away sana..msiposhiba pitieni kwa michepuko kwa staili hizi
 
Michango ya wanaume humu unadhani ni ya kuchukulia serious...

Hapiki mtu na ole wao hizo nyumba ndogo tuzijue....

Home mnafika wote saa tatu upike saa ngapi?...na house helper afanye kazi gani?

Kama walitaka mpishi hawakujua wamuoe nani?

Dunia ya leo ambyo wanaume mnataka wanawake wasomi,wafanya kazi,au hata wenye kujishughulisha msahau kabisa huduma za baba zenu.tunaamka wote kwenda kazini,kodi ya nyumba.ada za watoto zote tuchange and then you have guts to ask me why soksi zangu hazijafuliwa?au ile suruali iko wapi?dude come on,tununue mashine tukitoka jioni kazini kaa fua na kunyoosha nguo za kesho mi nipike na kufanya usafi chumba.mnatuchosha kutufanya sisi mashine.altenatively wanawake wakae full time nyumbani to attend all the duties then you get to pay for each any everything including her personal expenses.mnataka treatment za kifalme wakati you dont treat your women like queens..?na mtakula take away sana..msiposhiba pitieni kwa michepuko kwa staili hizi
 
Lakini mbona una-sound desparate?????

Waaapi wewee wanahongaje hao mbiga wenuu. Niko naye ananipangia single room lkn kwa hizohizo pesa zake nimejengea mjengo wa ukweli kodi napoke 600,000per month na usafiri ninao nimemwambia wa shogaa angu. Tunakula na vipofu hatuwashiki mkonoo wee dai kiwanja baharini huku mali wahibiwa kutwa haishi safari na sasa mtaisoma, abiria mmeshindwa kuchunga mizigo yenu na mwanangu anasoma shule ya high qlty kuliko wako na mlipa fees ni huyo mumeo na mwana si wakee na anatambua ila kwa nimjalivyo haswaa tumboo wala haoni tabu. wee kaa ukibadili aina za simu mpk leo huna lolote na wadai mjanja mjini.
 
Chekii pishi la tumbooo kama mwanamke wako ajui mlete nmfundishee

Me nikajua utaweka picha ya wali nazi...tena ule wali wa mchele robo nazi saba...na kitu cha samaki juu...
Kumbe chipsi...mwee...hizo chipsi ndo unamlisha mumeo? Na hao kuku walokosa malezi ya baba?
Basi usije kuleta malalamiko humu... oooh tukiwa tunaenda mbagala ananiacha Tandika......!
 
Mnhhh nazi saba mchele robo? Itabidi unipikie Nione .
 
Ajulie wapi wakati ataharibu kucha na mikono kushika shika maji....na jinsi inavyokuwa shida akianza hivyo na supply ya papuchi yake inakuwa ndogo kwa hiyo ni full majanga... Hapo ndipo inapokuwa tabu

Ngumu sana hiyo, habari ya kumenya ndizi/viazi na kucha ndefu ataweza wapi...kila kitu Ni kwa msaidizi wa nyumbani.

Lskini pia ushukuru kupata mke aliyeko vizuri chumbani na jikoni, ni rare sana.. Kama,ilivyo vigumu kupata mwanaume aliyeko vizuri chumbani na kwenye ATM.
 
Me nikajua utaweka picha ya wali nazi...tena ule wali wa mchele robo nazi saba...na kitu cha samaki juu...
Kumbe chipsi...mwee...hizo chipsi ndo unamlisha mumeo? Na hao kuku walokosa malezi ya baba?
Basi usije kuleta malalamiko humu... oooh tukiwa tunaenda mbagala ananiacha Tandika......!

hahahaha... kizazi cha kyepe yai hakijifichi.
 
Umesahau mboga za majani....
Maana mie nimezisaka sijaziona
Zaidi ya parachichi

Me nikajua utaweka picha ya wali nazi...tena ule wali wa mchele robo nazi saba...na kitu cha samaki juu...
Kumbe chipsi...mwee...hizo chipsi ndo unamlisha mumeo? Na hao kuku walokosa malezi ya baba?
Basi usije kuleta malalamiko humu... oooh tukiwa tunaenda mbagala ananiacha Tandika......!
 
Inasikitisha sana, mimi nishaweka sheria mapema kabla ya kumuoa mtu kazi za nyumbani kama kupika,chumba chetu kusafisha ni zako, hakuna cha mfanyakazi labda ukijifungua.
Kufagia uwanja nitafanya mimi.
Ukishindwa hayo nakuridisha kwenu ukajifunze

Good husband.. congraa
 
hahaha, Da Sophy in a new phase. Sasa kama unakula vyote hivyo kelele za nini? si utamstua alielala?
Raha ya mwanamke mwenye sifa za kuwekwa ndani ni staha bwana. Hivi unajua mwanamke alieolewa hawezi kuongelea evil motives zake, tena kwa ushahidi wa maandishi? Hahaha hongera kwa mjengo, na gari, na school fees ya shule makini.

Anything else to brag about?:hug:
Waaapi wewee wanahongaje hao mbiga wenuu. Niko naye ananipangia single room lkn kwa hizohizo pesa zake nimejengea mjengo wa ukweli kodi napoke 600,000per month na usafiri ninao nimemwambia wa shogaa angu. Tunakula na vipofu hatuwashiki mkonoo wee dai kiwanja baharini huku mali wahibiwa kutwa haishi safari na sasa mtaisoma, abiria mmeshindwa kuchunga mizigo yenu na mwanangu anasoma shule ya high qlty kuliko wako na mlipa fees ni huyo mumeo na mwana si wakee na anatambua ila kwa nimjalivyo haswaa tumboo wala haoni tabu. wee kaa ukibadili aina za simu mpk leo huna lolote na wadai mjanja mjini.
 
Last edited by a moderator:
hivi huwezi kujipa ka mjengo, vibebi woka na skul fees ya makini?

Hata kwa ufugaji wa samaki na kuku na biashara ya boda boda unaweza.

Mapenzi na pesa ni magumu kuyaelewa kama mambo ya imani.

Back
Top Bottom