Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Ni kweli usemayo but wamama wengi wanapooelewa huwa na hamu ya kufanya mambo haya lakin akishakaa mwaka katika ndoa na akazoeana na mumewe ndio anaanza kujisahau, Lakin ukiiangalia sana hii si mwanke peke yake msababishaji hata wanaume husababisha mwavamke kuwa mchafu, au kutomuhudimia, nitakuja kuifafanua ngoja nifuturu

uchafu wa mwanamke mwanaume ndo anasababisha??? asee nakusubiria hapa....
 
Hahahaha! Nimemkumbuka Da Sophy, lmfao. Sijui keshafanikiwa kuolewa?

manake mume wa nyumba kubwa dawa yake unapika mara chache, siku ukipika tu anaanza kujisemelesha nadhani mke wangu unahitaji gari jipya, na kile kiwanja cha baharini ukasign documents. Yeye akijipikilisha promo ni kuletewa nguo ama uturi.

hahaha nyumba kubwa ni kubwa tu aisee. Na wanaume nao anatumia gia kukirimiwa mtaani eti mke wangu hapiki, si umpe talaka? Hahahaha.
Umeona eeh...ameshindwa kumpikia 'boyfriend' mpaka apagawe atangaze nia ... mume wa 'Nyumba kubwa' atamuweza wapi? Mbona atapika mpaka avunje mwiko lakini atashanga 'promotion' hakuna...
 
Last edited by a moderator:
mume wangu hali chakula cha house girl,labda niumwe,nisafr au dharura nyingine
kwanza ana mashart km mganga wa kienyeji
.
 
sio mara ya kwanza haya kusemwa... tatizo ni wahusika sidhani ka wanasikia au wanasikia ila hawafanyii kazi!!!! kitachofata tusilaumiane

We mie nakarangiza mbayaaa nikikupikia chakula changu kesho huend kula kwa mamantilie na ni mbunifu sana wavyakula...... vilevile hata kuoga najua.....wapo wanawake wengi wa ivyo utakuta anapika chakula ka mchemsho akuna radha hata kidogo lol waga nashindwa kuelewa watoto wakike ni masomo ndio hutufanya tucjue kipika
 
Umenena kweli tena hawa wanaoenda maifisin ndio kisingizio acha housegirl watakeover tu watusaidie yote
 
sio mara ya kwanza haya kusemwa... tatizo ni wahusika sidhani ka wanasikia au wanasikia ila hawafanyii kazi!!!! kitachofata tusilaumiane

Wasilaumu nyumba ndogo wazitaka wenyewe ..... kakutana na miss chagga nikitoka kazini nawahi kumpikia kabla ajaenda kwa mkewe... tena washukuru muchepuko la sivyo wangetafuniwa mahousegirl mpaka wakome..... kupika hajui papuchi nayo anabana ni gubu tu ndani...MWANAUME MATUNZO .. MWANAUME PAPUCHI...zaidi ya hapo jua unaibiwa..
 
hahhahaha hapo umeua kabisa... tatizo michepuko nayo huwa inafanya makusudi, yani inatoa service mpaka extra service kwanini usihamishe majeshi!!! ndo dawa yao mpaka wajifunze kutunza mume
 
Naunga hoja 100% ,I have a current situation naonaga hadi aibu mimi,chumba kichafu ,nguo hadi ufue mwenyewe ,yeye anashinda tu kwenye insta,fb,viber,whatap
 
We mie nakarangiza mbayaaa nikikupikia chakula changu kesho huend kula kwa mamantilie na ni mbunifu sana wavyakula...... vilevile hata kuoga najua.....wapo wanawake wengi wa ivyo utakuta anapika chakula ka mchemsho akuna radha hata kidogo lol waga nashindwa kuelewa watoto wakike ni masomo ndio hutufanya tucjue kipika

masomo wap usister duu tu, unakuta mwanamke makucha marefu hata kukata vitunguu anajishtukia... yani msosi wa saa moja unaweza pikwa masaa matano!!! hahaha ila sijaamin ka unaweza kupika kiasi hicho labda uniprovie
 
Ukiamua kuwa nyumba ndogo wewe endelea tu ila usitegemea promotion maana utasubiri sana....

Na ukichoka kusubiri utakuja na tangazo kama hili JF.... baada ya kuona uliye naye ameshakula sana promotion hakuna...

Wenzake wanalijua hilo ndio maana wanasema kila siku hawana shida na ndoa; wao wanataka starehe tu...huyu atakuwa mgeni kwenye gemu...

Hahahaha! Nimemkumbuka Da Sophy, lmfao. Sijui keshafanikiwa kuolewa?

manake mume wa nyumba kubwa dawa yake unapika mara chache, siku ukipika tu anaanza kujisemelesha nadhani mke wangu unahitaji gari jipya, na kile kiwanja cha baharini ukasign documents. Yeye akijipikilisha promo ni kuletewa nguo ama uturi.

hahaha nyumba kubwa ni kubwa tu aisee. Na wanaume nao anatumia gia kukirimiwa mtaani eti mke wangu hapiki, si umpe talaka? Hahahaha.
 
Yaan shida ni mama wanaojifanya ndo wakwanza kufanya kazi maofisin et jioni amechoka ,kitandan hawez, Ngoja nimtafte mke wa kuoa ila hasiwe msomi aise.
 
wewe mtuma ujumbe una lako jambo sio bure.....hapo mwisho hapo...mhmmmmm!
 
Naunga hoja 100% ,I have a current situation naonaga hadi aibu mimi,chumba kichafu ,nguo hadi ufue mwenyewe ,yeye anashinda tu kwenye insta,fb,viber,whatap

MTAFUTIE SMALL HOUSE huyo mbona ATANYOOKA?.........
 
hahhahaha hapo umeua kabisa... tatizo michepuko nayo huwa inafanya makusudi, yani inatoa service mpaka extra service kwanini usihamishe majeshi!!! ndo dawa yao mpaka wajifunze kutunza mume

Watajifynzia wapi wakati wakishawekwa ndani wanajisahau na excuse kibao shauri yao michepuko inasaidia la sivyo hizo nyumba zingegeuka gaza
 
Naunga hoja 100% ,I have a current situation naonaga hadi aibu mimi,chumba kichafu ,nguo hadi ufue mwenyewe ,yeye anashinda tu kwenye insta,fb,viber,whatap

Na hivi vimewaharibu sana nyumba zetu ... kazi ipo kwa kweli mrafutie msaidizi... alafu wanawake bwana utakuta wakati anahitaji kuolewa anakuwa mtiifu na atajifanya msafi mweke ndani utasikia habar yake anatio makucha ya kila mahal tayari lishakuwa zigo
 
Yaan shida ni mama wanaojifanya ndo wakwanza kufanya kazi maofisin et jioni amechoka ,kitandan hawez, Ngoja nimtafte mke wa kuoa ila hasiwe msomi aise.

hajielewi huyo
mi natoka kazini nkfika home napika,nafua nguo za watoto nna twins wa miezi 6!bado mume nae namhudumia km kawa
kwanza hali kwa mam ntilie labda dharura!
 
Back
Top Bottom