love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
- Thread starter
- #141
Nyumba Kubwa inapatikana?
Ndiooo naweza kuwa ndogo na ni selfcontein sasa wewe mwenye bangaluu ukitaka kuoga mpk jirani ajue.
Nyumba Kubwa inapatikana?
nyumba kubwa ipo self contained nadhaniNdiooo naweza kuwa ndogo na ni selfcontein sasa wewe mwenye bangaluu ukitaka kuoga mpk jirani ajue.
nyumba kubwa ipo self contained nadhani
aaahhhh si umeona mwenyewe kakiri anaishi chumba kimoja; tena mpangaji...chezeya Big House wewe....
Nyumba kubwa inapatikana? mi nataka kubwa sio ndogo
hapana nilikua nafanya majaribio
nilisikia msemo mmoja hivi unasema 'ukitaka kuingia moyoni kwa mwanaume basi njia ni tumboni kwake'
siyo kupika tu, bali ni kumpikia vitamu.
Ni hayo tu
nilisikia msemo mmoja hivi unasema 'ukitaka kuingia moyoni kwa mwanaume basi njia ni tumboni kwake'
siyo kupika tu, bali ni kumpikia vitamu.
Ni hayo tu
Aaahhhh haya furahieni hiyo mizaga zaga ila mkipata BP na visukari msisahau kuja kutoa ushuhuda...
Maan najua kibongo bongo what it means by 'kupika vizuri'
that's true ndugu..I have a cousin brother akiwa mseja alikuwa kimbaumbau ka mimi..
Kiukweli mimi ni mrefu na mwembamba,six feet kama wale marathon athletes.
Bidada kila siku kunanga Ohh baby wangu kwenu ulikuwa hulishwi vizuri wacha nikupimp..
In 2 years of marriage..jamaa juzi kaambiwa he's diabetic prone..akitembea kidogo full complaints
za kuchoka na kuhema..but hajanenepa sana ila ndio ivo..shida za kiafya hazimuishi.
My simple proof kwa wanawake wetu wa kiswahili..wana imani kupika vizuri ni kukaanga na mifats na oils
kwa kwenda mbele..

Most of the man wanapenda kupikiwa chakula kizuri haswa na wake zao na wanajisikia raha zaidi kula chakula alichopika mke.
Pia wanapenda usafi na uwekwaji mzuri wa mazingira safi kila saa 24/7 fo 365 of the year.
Sasa ukute mke mvivu flani akipka ndio uuuuwiii ukila chakula unafanya kuchagua kitunguu,nyanya,karoti,hoho,bilinganya yaani yamesimama wima kama ngogwe & bamia, chakula hakina test mtu mpk anasema naomba chumvi au pilipili&ndimu,limao yaani njaa anayoo ila msosi uko testless so anautafutia namna.
Jamani kwanini wanawake mlioko majumbani haswa mlioolewa hamjui kupikaa vizuri?
Chakula hakibadiliki dizaini kutwa wali nyama,viazi nyama,ndizi nyama,wali maharagwe,ugali chuzii na formla ya mapishi daily ni 1 mpk kinaboa. Mbona vibanda umiza kwa mama lishe wanapika vizuri nyie ni nini?
Mwanamke umeolewa ndio ukiwa na beki 3 ndo baaax tena kazi zooote zake mpk kumuandalia mumeo nguo nayeye ndio anaijua kama chafu au safi,inavishikizo vyote ama laaa,zipu nzima au imekatika,mifuko iko salama au imetoboka? sasa mume akikuolea huyo beki 3 unahaha nini wakati project imekushinda kwa nini asipewe anayeiweza?
Mwanamke mchafuu alafu unajidai "jamani nyie acheni tu huyu msichana niliyenaye si msichana ni bomu mchafuu, huo uchafu kauleta toka kwao wkt wee mwenyewe mchafu mpk jua linazama 9t dress ujavua ni umbea tuu na makelele kama wale wahindi wa mwaka 1947?
Alafu wala ushtuki kuweka nyumba yako sawa na mpangilio mzuri eti kisa ninashepuu?kanikuta bikraa,sina michepuko,mama&baba mkwe wananipendaa uuuuwiii utaishia kumuona mume jina akija kwangu.
Mimi hapa naongea fact...
These days vijana wadogo wa early 40s wana visukari na BP...
Kama kuna kitu ni sumu kwa sasa ni chakula cha hovyo...
Ndio maana nikisoma humu mtu anasema anapika na nazi saba...nawasikitikia tu...