Aisee, kazi kweli. Wengine kupika hata hawajui na wala hawataki kujua..!!
hajielewi huyo
mi natoka kazini nkfika home napika,nafua nguo za watoto nna twins wa miezi 6!bado mume nae namhudumia km kawa
kwanza hali kwa mam ntilie labda dharura!
Aaahhhh haya furahieni hiyo mizaga zaga ila mkipata BP na visukari msisahau kuja kutoa ushuhuda...
Maan najua kibongo bongo what it means by 'kupika vizuri'
ndiyo maana , mama house Evelyn Salt ukiingia kwa nyumba sitoki nyumbani .......... nikitoka natoka na wewe.
Ajulie wapi wakati ataharibu kucha na mikono kushika shika maji....na jinsi inavyokuwa shida akianza hivyo na supply ya papuchi yake inakuwa ndogo kwa hiyo ni full majanga... Hapo ndipo inapokuwa tabu
[/QUOTE]Yani kuna watu nawajua face book wamekaza kujionyesha wapishi wazuri...wifey material..ukiangalia msosi tooobaaa...
Ila nawapa like tu kiunafiki si ndio wanayotafuta...
[
QUOTE=miss chagga;10176719]Ha ha ile chakula inaelea mafuta juu
Umesahahu kumalizia...na mchepuko hana...aaahhh
kazana kutoka jasho mama...huko nje wanafata papuchi wewe...nani kakwambia michepuko inajua hata kuchemsha chai...
Utatoka jasho weee...ujichakaze mpaka, mwenzio anakula hoteli na mchepuko wake alofuga mikucha kama jini...
mimi natimiza wajibu wangu
hayo mengine mi simfuatili
simpi sababu na michepuko ni hulka
masomo wap usister duu tu, unakuta mwanamke makucha marefu hata kukata vitunguu anajishtukia... yani msosi wa saa moja unaweza pikwa masaa matano!!! hahaha ila sijaamin ka unaweza kupika kiasi hicho labda uniprovie
Chekii pishi la tumbooo kama mwanamke wako ajui mlete nmfundishee
Sa chakula gani hakuna hata mboga mboga...
Unampikia msukuma chipsi unataka talaka?
Apo vip....watu tumefunzwa jikon ad chumbani mchezoooooo
Chekii pishi la tumbooo kama mwanamke wako ajui mlete nmfundishee
Hicho cha pili kidogo kiko convincing...ila toa na maelezo ni chakula gani? Maana naona kama kuna konokono...lol au macho yangu
mmh kama hujagoogle apa nakuvulia kofia... ila ilo pilau mixer avocado ndo imenmaliza sana