Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

Kupika vyote na kutenga mezani ipasavyo... usafi muhimu sana sio mtu akiingia bafuni anajutaa maana hakuna hata pa kukanyaga asimame aoge na asipoangalia anaweza akaanguka kwa utelezi na wacha choonii.... ujaja ndani.... kuweni wasafi na asiyeweza aje kwangu kusoma tuition! Pia pikeni vyakula kwa kipimo cha kula na kuisha si viporo vimejazana ndani ya friji kibaaao mpk unasema sipiki vyakula vingi... nani wa kula vyakula maitii vya siku 3 na kuendelea....

na mwanamke anaeweza kupika vyakula vizur basi jua yuko vizuri na kwengine pia.
Kupika ni sanaa na ukiiweza basi jua na vyengine haviwezi kukushinda.
Huwa upishi na usafi vinaenda pamoja.
Huwezi sema unapika vyakula vile vyenyewe halafu jiko chaaafuuuu.
We angalia tu wanawake wanaopenda kukaa jikoni sifa zao.
 
Ku compare wazazi na sie inaitaji research...
We are not very sure with what is happening...
Lakini wagonjwa wa BP na kisukari wamezidi kuongezeka...

Precaution is better than cure...
Labda kina Mzizi mkavu na kina Riwa watuambie sababu ni nini kama kuna research ishafanywa?

Ingawa unaweza kutumia life experience kujua kuwa maisha yetu ya leo si sawa na maisha ya wanakijiji..
Kwa siku mtu hatembei hata km 5...
Afu anafakamia mivyakula isoeleweka...

weweee Hata upike na nazi kumi....haijalishi..
Wazazi wetu wamekuwa wakipikiwa vyakula vya hivyo na hadi leo wapo na walifunction vizuri...Tatizo la watu ni ile kujua kubalance vyakula ... Ukila chakula usikose mboga mboga...Matunda pia..

Pia milo ibadilikee...Leo hiki, kesho kile...Na si kula mikate mikate, michipsi kila mara....

Hehehe ingekuwa kupika kwa nazi mwanaume ufunction basi wanaume wa Tanga, Wa Pwani wasingefunction.
Waangalie walivyo na wake na woote wanawatimizia haja ya kitandani..
 
Shida ya wabongo ukimwambia mtu kula vizuri anajua mikaango ya chipx yai nk wakati hata kande lako umeliunga vema spinach yako pembeni + kama juice ya karoti au parachichi nayo ni mlo mzuri mbona..... Shida yenu mgando wa mawazoo...
 
Nakubaliana na wewe...
Labda tujiulize kwa nini tunakula?
Kufurahisha ulimi tu (taste) au kuwa na afya?

Ili wengi wanalipuuza...
Ndio maana unakuta mtu anakula ugali umelowekwa na kukobolewa ...mweupeeee...
Anachojali taste...
 
Watu wengi wanashindwa kujielewa...Kula vyakula vizuri sio sababu ya kupata hayo magonjwa..
Magonjwa mengine yanatokana na mtu kuwa mzembe pasipo kufanya mazoezi..
Kutofanya balanced diet..
Kula mlo mwingi
Kula pasipo kufuata wakati

Ukisema hivyo mambo ya kisukari...Wazungu pia wasingekuwa wanakula micake, sweets...Mahotelini makubwa kusingekuwa katika kila chakula kuna sweets pembeni..

Yategemea na mpangilio wako wa vyakula ...usifakamie tuu ilimradi ..Step by step. na mazoezi yakiwemo.

Pia magonjwa mengine kama kisukari kuna Kurithi ukumbuke...Ndio maana ukipatwa na sukari unaulizwe katika historia nani kwenu anatatizo la sukari..

Pressure inakuja na misongo ya mawazo, Kutokuwa na mazoezi, pia kula vyakula vyenye mafuta mengi...

Ku compare wazazi na sie inaitaji research...
We are not very sure with what is happening...
Lakini wagonjwa wa BP na kisukari wamezidi kuongezeka...

Precaution is better than cure...
Labda kina Mzizi mkavu na kina Riwa watuambie sababu ni nini kama kuna research ishafanywa?

Ingawa unaweza kutumia life experience kujua kuwa maisha yetu ya leo si sawa na maisha ya wanakijiji..
Kwa siku mtu hatembei hata km 5...
Afu anafakamia mivyakula isoeleweka...
 
kweli .........love more than100

Nakubaliana na wewe...
Labda tujiulize kwa nini tunakula?
Kufurahisha ulimi tu (taste) au kuwa na afya?

Ili wengi wanalipuuza...
Ndio maana unakuta mtu anakula ugali umelowekwa na kukobolewa ...mweupeeee...
Anachojali taste...
 
Haya magonjwa siku hizi yamekuwa wala si kurithi...
Watu wanayapata hovyo hovyo tu...

Na kwa kuwa watu hawana culture ya mazoezi, ndio maana mlo una umuhimu...maana inakuwa wanakula in excess...hawana kazi za kuwatoa jasho lakini mtu anakula kiti moto nusu daily akipitia bar...

Watu wengi wanashindwa kujielewa...Kula vyakula vizuri sio sababu ya kupata hayo magonjwa..
Magonjwa mengine yanatokana na mtu kuwa mzembe pasipo kufanya mazoezi..
Kutofanya balanced diet..
Kula mlo mwingi
Kula pasipo kufuata wakati

Ukisema hivyo mambo ya kisukari...Wazungu pia wasingekuwa wanakula micake, sweets...Mahotelini makubwa kusingekuwa katika kila chakula kuna sweets pembeni..

Yategemea na mpangilio wako wa vyakula ...usifakamie tuu ilimradi ..Step by step. na mazoezi yakiwemo.

Pia magonjwa mengine kama kisukari kuna Kurithi ukumbuke...Ndio maana ukipatwa na sukari unaulizwe katika historia nani kwenu anatatizo la sukari..

Pressure inakuja na misongo ya mawazo, Kutokuwa na mazoezi, pia kula vyakula vyenye mafuta mengi...
 
Unasema wazungu wasingekuwa wanakula mikeki???

Hivi unajua magonjwa haya ya kisukari na moyo ni tatizo kubwa sana kwao kuliko kwenye nchi masikini?

Imeshangaza tu dunia kuona nchi kama Nigeria kwa sasa nao kati ya wanaume 4 mmoja ana BP...lakini kwa ulimwengu wa kwanza hilo ni tatizo sugu...sema wana facilities wana bwia madawa tu...

Unadhani kwa nini fast foods zimekuwa zikilaumiwa kuwa irresponsible? wanaharibu afya za watu?

Siwezi kubisha saana but am saying this coz my Mother is a doctor tangu nipo home mdogo tumekuwa tukipika vizuri....so km ingekuwa hivyo kupika vizuri ni magonjwa asingekuwa anapika...na hadi now me ni mkubwa ananishauri ipasavyo...Vitu ambavyo tuu unashauriwa usile ni processed foods. .... Kuku wa kizungu usile ngozi, usinywe chai ya sukari ya kukorogea hakikisha unachemshia sukari ktk chai, Mafuta tumia yasiyo na Cholesterol, Kama unaunene tumia maziwa ya LOW FAT, Kila chakula kisikose mboga na pili maji kwa wingi, soda jiepushe...etc....

so ananieleza kila kitu....Magonjwa smtmz yanagegemeana..Kurithi na vitu vingine...Home tusingekuwa tunapika vizuri zaidi ya kuchemsha...

Sasa hayo alokufundisha mama yako huwezi pata kwenye fast foods...mfano huwezi jua wanatumia mafuta gani...
Pia si madaktari wote wame specialize kwenye magonjwa ya moyo na kisukari...
Unaweza kuwa na interest na mambo ya afya ukawa na ufahamu kuliko baadhi ya madaktari kwani these days kila kitu kiko online...

Kuna madaktari wengi tu wana vitambi (obese) na magonjwa haya tajwa...

Mfano kisukari kina types...cha kurithi kinajulikana...wengi wenye kisukari kwa sasa wala si cha kurithi...ni life style...

Hata wenye magonjwa ya moyo wengi tu unakuta wazazi hawakuwa nao

Back
Top Bottom