Wanaume wanaopenda lift....

Wanaume wanaopenda lift....

Napata shida sana na hili. Wote tunafahamu kwamba jiji la Salidalama lina tatizo la usafiri na pengine kumsaidia mtu ni kitu cha kawaida kama anakwenda kazini. Lakini cha ajabu, kuna baadhi ya wanaume ambao wanafanya kazi. Kila siku unamkuta mtu amesimama mbali na kituo cha daladala utafikiri anasubiri gari la ofsini kwao kumbe sio. Kila akipita mtu unakuta kazi ni kuchungulia kwenye vioo vya gari na kupiga mkono kama trafik. Ukiwa job anapiga unatoka saa ngapi ili apande tena wakati wa kurudi home.

Jamani kwa nini wanaume tunajifedhehesha hivi? Mtu anakupa lift maramoja na pale ambapo kweli kuna shida ya usafiri na wewe, jaribu kukaa hapo kwenye kituo cha mabasi na wenzako. Wanaume tusipende sana kudandia lift maana ni fedheha. Mambo haya yalikuwa kwa wanawake zamani lakini siku hizi yamehamia kwa wanaume!

Najua wengi wataponda lakini ukweli ndo huo! Mi na mke wangu hatukuwahi kudandia lift ya mtu, tulikwa sisi na daladala kila siku! Hata kama gari imeleta tatizo tulikuwa tunawahi kupanda daladala. Iweje wasio na magari wapende sana lift utafikiri shida hawana?

Tungekuwa na Moyo wa upendo kwa kila mtu ingependeza! Usione kutoa lift ni tatizo ! Mola ndo anapanga yote anamnyima yeye anakupa wewe ili tutegemeane!Hivi angeweka usawa kwa watu wote ingekuwaje? Kila Mtu amiliki hummer, Fedha, Mali, n.k nani angemtumikia mwenzie!?
Kila mwenye gari asubuhi angebeda watu japo 4 au kulingana na uwezo wa gari lakie tatizo la usafiri lisingekuwepo!
Mpende jirani yako kama Nafsi yako!
Kuna mama mmoja aliombwa lift akamyima yule aliyemuomba! jamaa akaamua kutembea kwa mguu kufika mbele akamkuta mama anaomba msaada gari lake limekwama kwenye tope! Alichokifanya jamaa alimsaidia mama kutoa gari lile kwenye tope kisha akaendelea kutembea kwa mguu
 
Tehe tehe! Nakumbuka jamaa moja kila akipanda kwenye gari langu anasema nizime A/C eti hapatani nayo! Nilipomuuliza kulikoni, akasema anashindwa kupumua eti baridi inambana wakati hata pumu. Sasa sijui itakuaje siku atakapopanda ndege!

babu umenichekesha sana, Daah!! hii kali
 
Well said lol.. Huwa inaboa sana unakuta mmepanga kujadili/ au mmeshaanza kujadili mambo yenu .. Mnashindwa tena huyo anaekuganda daily ningempiga stop lol

Ukitaka mloga mwambie achangie mafuta...

Ofisin kwetu iletaga ugomvi balaaa.. Mtu kazoea kama huyo yani wanatoka eneo moja so yeye lift anataka daily asubuhi na jion.

One day kukawa na party ya ofisi usiku, na kila mtu akapewa nauli, mwisho wa party mwomba lift akaambiwa changia mafuta akakataa na akaona kama ananyanyasika lol.. Yani it was a big ishuuuu akaanza kumsuta na kumsema vibaya mwenye gari lol.

Kweli watu tunahitaji kujifunza.. My self na hate lift bora nijifie na shida zangu.
 
ki ukweli mambo ya kumuomba mtu lift kila siku kama haipendezi.inatakiwa mtu uridhike na hali uliyokuwa nayo.mtu anaweza kukuchekea,kumbe ndani ya gari lake anakulaani tu.ukiwa na emergency kidogo sio mbaya,lakini isiwe kila siku.utafikri gari mnenunua pamoja.kwa upande wangu mimi,siombi cha mtu
 
Lift zinakera,wakati mwingine unafikia hatua ya kununua gari si kwa kwa kupenda bali mazingira yanakulazimisha.Unakuta hata ndugu yako wa karibu mnashindwa kuelewana.Watu walio wengi ukijitolea kumsaidia,anageuza msaada kuwa ni wajibu.

KAMA HAKUNA ALIYEZALIWA NA GARI LAKE NA PIA HAKUNA ALIYEZALIWA AKIWA AMEPANDA DALADALA.Komaeni na daladala Muumba akileta heri vuta mkoko wako.
 
ndugu msaidie m2 kutoka moyon km unamsaidia hlf roho yk inauma co vzr ht mungu hapendi km hutak kumpa lift mpite au mwambie ukweli.
 
Napata shida sana na hili.
Wote tunafahamu kwamba jiji la Salidalama lina tatizo la usafiri na
pengine kumsaidia mtu ni kitu cha kawaida kama anakwenda kazini. Lakini
cha ajabu, kuna baadhi ya wanaume ambao wanafanya kazi. Kila siku
unamkuta mtu amesimama mbali na kituo cha daladala utafikiri anasubiri
gari la ofsini kwao kumbe sio. Kila akipita mtu unakuta kazi ni
kuchungulia kwenye vioo vya gari na kupiga mkono kama trafik. Ukiwa job
anapiga unatoka saa ngapi ili apande tena wakati wa kurudi home.

Jamani kwa nini wanaume tunajifedhehesha hivi? Mtu anakupa lift maramoja
na pale ambapo kweli kuna shida ya usafiri na wewe, jaribu kukaa hapo
kwenye kituo cha mabasi na wenzako. Wanaume tusipende sana kudandia lift
maana ni fedheha. Mambo haya yalikuwa kwa wanawake zamani lakini siku
hizi yamehamia kwa wanaume!

Najua wengi wataponda lakini ukweli ndo huo! Mi na mke wangu hatukuwahi
kudandia lift ya mtu, tulikwa sisi na daladala kila siku! Hata kama gari
imeleta tatizo tulikuwa tunawahi kupanda daladala. Iweje wasio na
magari wapende sana lift utafikiri shida hawana?

wenye magari ya mkopo utawajua tu, masimango kwa kwenda mbele
 
Lift zinakera,wakati mwingine unafikia hatua ya kununua gari si kwa kwa kupenda bali mazingira yanakulazimisha.Unakuta hata ndugu yako wa karibu mnashindwa kuelewana.Watu walio wengi ukijitolea kumsaidia,anageuza msaada kuwa ni wajibu.

KAMA HAKUNA ALIYEZALIWA NA GARI LAKE NA PIA HAKUNA ALIYEZALIWA AKIWA AMEPANDA DALADALA.Komaeni na daladala Muumba akileta heri vuta mkoko wako.

Mkuu umesema ukweli kwa hali ya dsm ilivyo sasa gari sio luxury ni muhimu (kama mtu una ka uwezo ni bora kununua) otherwise utakufa maskin ukihaha na daladala.. (Ina cost muda sana lol)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nimeupenda uzi huu kwa sababu ya kushangaza kidogo ,actually kwangu ni kubwa mno!
NIMEPENDA VILE UNAMZUNGUMZIA MKEO HUMU!
love it brother keep it UP!yatakaa sawa tu!hayo ya lifti mi wala hayajanishughulisha!
hebu pitia tena post zako kweny thread hii!
thank yu very much!

Hahahaaaa nimechekajeeeee!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mleta mada hivi vitu vinapatikana tu ndugu yangu,tunavitumia,tunaviacha, mwenzako kama hana msaidie.
Naona tunasimangwa sisi masikini tusiokuwa na vyombo yvya usafiri,ipo siku nasi mungu atakuja kutupa,na akitupa tutawasaidia ambao watakuwa hawana!!
 
wenye magari ya mkopo utawajua tu, masimango kwa kwenda mbele

Kuwa na uwezo wa kukopesheka ni sifa nzuri, hasa mtu akikopa na akanunua gari! Then anajua kwamba anakatwa, hajamaliza mkopo halafu mtu mwingine nae analifanya gari kama lake. Kila siku anapiga mkono kama traffic! Jamani!
 
nimeupenda uzi huu kwa sababu ya kushangaza kidogo ,actually kwangu ni kubwa mno!
NIMEPENDA VILE UNAMZUNGUMZIA MKEO HUMU!
love it brother keep it UP!yatakaa sawa tu!hayo ya lifti mi wala hayajanishughulisha!
hebu pitia tena post zako kweny thread hii!
thank yu very much!

Wakati natangaza hapa kwamba ninashida, watu walifikiri natania. Nilipopata ushauri humu, nikautumia vizuri. Sasa waliokuwa wanasema natunga wanaaibika kwa vile wanaona mambo yangu yanaanza kuwa imara! Jamani yasemwayo yapo! Mwenyewe nimejionea hapa. Kuna baadhi ya watu humu wanauzoefu na ushauri mzuri sana. Ila wengine ni wapotoshaji. Haya nayaacha haya ya mke wangu maana sipendi kuyachokoza tena. Asante snowhite for your observation that i now mention my wife.
 
WAKUWAACHE UPUMUWE!mimi love it love it!MUNGU AWABARIKI SANA!nina furaha sana kwa ajili yenu!SANA!
 
Mie nikipewa lift na mdada na akiwa mwenyewe haponi, Lazima anipe tundi ili aendelee kutoa lift...............!:becky:
Na nampa shughuli ya ukweli mpaka anachanganyikiwa............!:madgrin:
 
Kaka, mbona umenizidi ujanja kwa mbali hivyo? Umenifurahisha sana!

Kwenye ukweli tuseme jamani.....Unakuta jana yake usiku ulilikoroga kwa wife.....sasa mda mzuri wa kuweka mambo sawa ni wakati mnaelekea ofisini.....kwenye gari hata akikugombeza hamna mtu anasikia......saa nyingine hata unafinywa........ unakuta ndo mko katikati ya maongezi...alafu mtu anakusimamisha....kwa kweli lazima tuwe waelewa..kama unaona mtu yuko na mke wake au mpenzi wake wape nafasi...sio kila siku wewe unawaganda tu sio asubui wala jioni..... Pakia dalax2
 
Mie nikipewa lift na mdada na akiwa mwenyewe haponi, Lazima anipe tundi ili aendelee kutoa lift...............!:becky:
Na nampa shughuli ya ukweli mpaka anachanganyikiwa............!:madgrin:

MARIOOO NA LELIE..OOOOO....MARIO...MARIO..:majani7:
 
Back
Top Bottom