Wanaume wanaopenda lift....

Wanaume wanaopenda lift....

Hahaaaa, ni sawa na kumpa mtu zawadi ya fedha, then anaanza kuhesabu mbele yako ili ahakikishe mahesabu. Hii ishu ni subjective kuna wengine mishipa ya aibu imezingirwa sana na body fats kwa hio aibu inapita kwa kiasi kidogo sana.

Mwingine unapewa lift kila siku jamaa akiingia sheli unajidai kuchezea/kupiga simu, shame on you! kwa nini hata siku moja usilipie mafuta hata ya buku ten ya kuzugia???

ila tukiacha utani, lift ni tamu jamani! ukinikuta njian usiniache wajameni.
 
Hili la kuchangia mafuta kuna siku walipanda watu watatu, wakati nanunua mafuta, mmoja alitoa elf kumi. Baada ya wiki nikasikia eti wanachangia mafuta ndo maana gari liko barabarani kila siku. Nilichokifanya ni kutochukua hela ya mtu ata akitoa nakataa kabisa.

Sioni shida kumpa mtu lift jamani, nadhani shida ni baadhi ya watu kujisahau tu, nilikuwa na jirani ambaye humpa lift ash, tatizo lake kuu aliamini seat ya mbele ni yake sasa mke wangu akija toka Moro asubuhi ninapoelekea Ofisini maeneo ya posta na yeye Kariakoo kwa issue zake basi huyo jirani anang'ang'ania seat ya mbele ilileta shida kidogo.
 
Wanakujazia nzi kwenye gari Wiyelele? Wachane live watafute magari yao ,sio poa kabisa ka huna kavitz panda dala ka mie ya nn kumkera Wiyelele! BTW vp wife kashatulia?
Hili la kuchangia mafuta kuna siku walipanda watu watatu, wakati nanunua mafuta, mmoja alitoa elf kumi. Baada ya wiki nikasikia eti wanachangia mafuta ndo maana gari liko barabarani kila siku. Nilichokifanya ni kutochukua hela ya mtu ata akitoa nakataa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa, ni sawa na kumpa mtu zawadi ya fedha, then anaanza kuhesabu mbele yako ili ahakikishe mahesabu. Hii ishu ni subjective kuna wengine mishipa ya aibu imezingirwa sana na body fats kwa hio aibu inapita kwa kiasi kidogo sana.

Mwingine unapewa lift kila siku jamaa akiingia sheli unajidai kuchezea/kupiga simu, shame on you! kwa nini hata siku moja usilipie mafuta hata ya buku ten ya kuzugia???

ila tukiacha utani, lift ni tamu jamani! ukinikuta njian usiniache wajameni.

Umenichekesha sana! Unaponda na kushangilia wakati mmoja!
 
Wanakujazia nzi kwenye gari Wiyelele? Wachane live watafute magari yao ,sio poa kabisa ka huna kavitz panda dala ka mie ya nn kumkera Wiyelele! BTW vp wife kashatulia?

Tehe tehe tehe! Ciello hujasahau tu? Kuna fomula niliipata hapa JF, nikai apply na ikamwingia vilivyo! Sasa anaanza kulainika kidogo. Hwa watu bwana wananikera, kila siku naosha gari tu seat za nyuma wakati watoto wangu wanapanda wkend tu? Wanaona gari kama lao eti!
 
kumbe c tumeruhusiwa, wanawake oyeeee, wanaume marufuku kuomba lift, I love them gals
 
Kimsingi, wanawake hawajaruhusiwa ila walikuwa na mambo haya zamani na sasa wamebadilika, hawaombi lift sana. Tabia hii kwa sasa imehamia kwa wanaume.
 
Kuna leo na kesho mkuu..kesho nawe waweza kukosa hata aliyekupa wewe naye ana makusudi yake na ukimpa mtu msaada hautakiwi kuhesabu.

hiyo hapana imezidi na kupigiana simu mida ya kutoka job, jamani watu wananid privacy lol, asubuhi ikitokea hata akikukuta kituoni atakupik c lazima umpigie mkono ka trafik bana,
MUMUWACHE AENJOI NA GARI YAKE, GARI YENYEWE YA MKOPO BADO UCHUNGU WA KUKATWA HAUJAISHA
 
Kimsingi, wanawake hawajaruhusiwa ila walikuwa na mambo haya zamani na sasa wamebadilika, hawaombi lift sana. Tabia hii kwa sasa imehamia kwa wanaume.

WANAUME BANA, Mna yenu nyie c bure angekua muomba lift mdada hata mwaka mzima ukimpa na tena ukimfata hadi mlangoni na kumrudisha , kwa kua vidume wenzio umeona haina maslah, ila we mmmbbbbaaaaayyyyyaaaaaaaaaa
 
Hata kama angekuwa mwanamke ningemwambia amezidi!
 
acheni uchoyo,basi tununueni gari za siti 2 tu
 
Wiyelele,
muda wa kutoka waambie una ratiba zako binafsi....

pamoja na tz 11 yangu lifti ni asubuhi tu...(raha ya tz 11 lifti ni ile kamapani ya kutembea hadi kituoni na kugombea daladala), unawaambia jioni una mambo yako...jamani na sie wapewa lifti tuwe waelewa, hammuachi mtu hata akapumua? umbana asubuhi umbane jioni umekua mkewe? matokeo yake ndo haya unageuka kero.....

mtu ashindwe hata kupitia small hausi? loh

jioni rudi zako kwa ustaarabu wako, ukizingatia huna unachokiwahi, asubuhi muombe lifti...

khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hata VITZ au Duet ni gari na haziitwi boda boda. Sisemi ni vibaya kumpa lift mtu ndo maana nawapa lift. Hawo ninaowapa si wafanyakazi wenzangu wala majirani. Ila mtu ambae unazoeana nae kidogo na ukamsaidia siku moja basi yeye anakariri haka ka "VITZ" na kukavizia kila siku. Mbona mi na mke wangu tulisota sana bila kujiaibisha kwa lift za watu? Hata siku hizi kuna wakati tunajipandia daladala wakati majirani wana magari... Kwanini mtu uvizie lift ya mtu kila wakati na akiwa job akose raha ya kupokea simu yako kumsumbua ni wakati gani anatoka ili udandie tena?
 
wakati tumeoana na mume wangu tulikuwa na jirani yetu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi ofisi moja na mume wangu, yeye alikuwa na usafiri(alikuwa m2 aged kdg) sis hatukuwa na usafiri..sasa mume wang alikuwa anapenda kupanda lift yake na mimi nilikuwa sipendi kabisa..yani hadi tunagombana kuhusu kupanda lift ya huyo jirani..
siku moja asubuhi mvua ilinyesha kdg, na wkt tunaenda kazini yule jirani alikuwa kwenye gari yake naye anatoka na watoto wake anawapeleka shule..kama kawaida mume wangu akataka kupanda, yule jirani akasema kwa ukali kdg hakikisheni miguu na viatu havina matope gari itachafuka sana..akaendelea tena kusema, watu wengine wanapewa lift halafu wanaingia kwenye gari na mavumbi na viatu vichafu wanachafua gari...kuanzia hapo mume wangu alijifunza na akaacha kabisa kupanda lift hadi tuliponunua usafiri wetu..
ni vizuri kuwaacha watu wapumue bwn, kila wakati umebanana na lift hadi unamnyima mtu raha ya kuongea na wife wake..mara moja moja sio mbaya
 
Hahahahaha! Hapo umenichekesha sana. Imagine mme wako anapenda lift! Na hastuki hadi aambiwe jamani! Ndo maana mi na mke wangu siku hatuna gari tunawahi tu daladala and we feel very comfortable!
 
Wiyelele,
muda wa kutoka waambie una ratiba zako binafsi....

pamoja na tz 11 yangu lifti ni asubuhi tu...(raha ya tz 11 lifti ni ile kamapani ya kutembea hadi kituoni na kugombea daladala), unawaambia jioni una mambo yako...jamani na sie wapewa lifti tuwe waelewa, hammuachi mtu hata akapumua? umbana asubuhi umbane jioni umekua mkewe? matokeo yake ndo haya unageuka kero.....

mtu ashindwe hata kupitia small hausi? loh

jioni rudi zako kwa ustaarabu wako, ukizingatia huna unachokiwahi, asubuhi muombe lifti...

khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

BADILI TABIA
Asante sana mkuu, labda watanielewa. Wangelikuwa wanawake tungesema wanawahi kupika, sasa wanaume mnaosumbua kuomba lift jioni mnakimbilia wapi? Pia, unawakuta the same people ikifika jioni wanashusha bia kinoma wakati wenye magari wanakunywa "Soda" tu! Wekeni mipango mizuri, nunueni magari na achana na aibu hii. La sivyo sio hamtapata ungonjwa wowote kupanda ddaladala kama ninavyofanya na mke wangu iwapo vimikweche vyetu vimeleta matatizo. Gari zenyewe hizi za mikopo zikiwa juu ya mawe ndo watu wa kwaza kutucheka!
 
bora umnyime tu ajisikie vibaya,na yeye atatafuta la kwake,mwingine anapewa lift anavunja kishoka wakati kuna a/c na joto la ckuizi unabidi umvungie tu,unakuta imefika mida flani unasikiliza jahazi,na yeye anataka asikilize cd yake ya kwaya,khaaa!!!,mara aguse kioo,mara asome makaratasi yako ya kazini,mara aombe umpitishe mahali...ni kero ila wafanyeje sasa?
 
Tehe tehe! Nakumbuka jamaa moja kila akipanda kwenye gari langu anasema nizime A/C eti hapatani nayo! Nilipomuuliza kulikoni, akasema anashindwa kupumua eti baridi inambana wakati hata pumu. Sasa sijui itakuaje siku atakapopanda ndege!
 
Back
Top Bottom