cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,014
- 196,507
"Hey babe, unaendeleaje? Nimepata wito wa kujisalimisha kituo cha polisi UG, nipo ndani ya Katarama naelekea Mutukula mpaka Kampala".
😂😂
"Hey babe, unaendeleaje? Nimepata wito wa kujisalimisha kituo cha polisi UG, nipo ndani ya Katarama naelekea Mutukula mpaka Kampala".
Mtoto mzuri upo😂😂😂😂
Hupendi wa sampuli hiikiti cha mbele.....
wanini sasa mimi,, sipendi uchafu..Hupendi wa sampuli hii
Sawawanini sasa mimi,, sipendi uchafu..
Mtoto mzuri upo
hivi jamaa ni milenial au Gen Z?Childish behavior!
hahahaha,private atakua bar kabisaMkuu wa majeshi anashinda twitter 😄
Ni Gen X lialia, kazaliwa 1974.hivi jamaa ni milenial au Gen Z?
Kama K iko vizuri, hizo sekunde 60 ni nyingi
Kongole kwa wadada wanaojitunza