Wanaume wanahangaika sana

Mungu Hamnyimi mtu vitu vyote..asipokupa hiki basi anakupa kile..hii yote ni ku balance maisha maana anatujua sana sisi binadamu. ndo maana unakuta kilema anaolewa na mtu wa mzima kabisa..na vitu kama hivo
 
Hee siku hizi hadi mwanamke mashine[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Haujakosea ila haya pia yanawatokea hata nyie kina Mama na zaidi ni nyinyi maana mnadanganywa mno na mabishoo/majambazi wa mjini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ....ndio maana anashangaa jamaa kaopoa demu mbovu... Kumbe manzi ni full mnato huko down...

Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba jamaa akiweka tu tayri, akiweka tu tayari..yote yanawezekana aiseeh...maana mmmh kuna mademu wengine kila mara unamtamani sio kwa sura bali kwa mashine ilivo tamuu...wengine ni balaa kwa kweli....
 
Kwa huu mwandiko wewe ndo umeachwa [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Kwani kuumia kunategemea ni nani kamuacha mwenzake? Mimi sikujui wewe wala hao wenzio wawili lakini maneno yako yanaonesha UNATESEKA. Ungekuwa huna maumivu ya 'tumbo' ulipotumiwa picha ya current affair ungetazama, ukacheka na kuendelea na maisha yako. Lakini kwako haikuwa hivyo, umeanza kumchambua current affair moyoni, ukaona haitoshi ukaja JF kumuanzishia uzi.

Huyu unayetuambia jukwaani ni mbaya hata robo hakufii waweza kuta kitandani ni mtamu na ana adabu zaidi yako x10. Mwache X wako afaidi vyake. We endelea na mpango uliokuwa nao hadi ukaamua kumuacha. Huko ndio kunaitwa kupiga teke ukuta 😀😀😀
 
Wewe ndo unaehangaika tu dume mbona limetulia?umeacha na huku ka roho kanakuuma kwa taarifa yako hiyo alieshika nafasi yako ndio bora zaid kuliko wewe(kipenda roho....)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maimoji mengi ya kuchekwa lakini roho inakusuta

Mwezrahi
 
At least umedhihirisha kuwa bado hujamove on [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa post ni maji ya kunde alafu mwembamba hana chura. Kwa kifupi ni wakawaida sana.

Kinachomtesa ni wivu na bado anampenda.mshikaji.

Kitendo cha kufanya kuchunguza na kujua mshikaji yupo na manzi mwingine ni dalili tosha kuwa bado unampenda.

Jinsi alivyokuona wewe ndivyo alivyomuona huyo huyo aliyenaye sasa hivi.

Kwa kifupi wewe na huyo manzi ni type moja ya mshikaji. Tofauti zinaweza zikawa ndogo sana.
 
Poor mind
Sent by Diaspora
 
Hii kitu haina formula, niliwahi kutana na mdada wa kawaida sanaa tuu but aisee huko kwa kisima chake utadhani kumewekwa asali, alikuwa mtamuuu soo sweet.... Kila nikimuacha na kupiga mwingine lazima nimkumbuke yeye, na namrudia tena na tena.... Rafiki yangu mpenzi wa chura na watoto White aliopoa bonge la toto mpaka ofisi nzima tukimuimbia Igweeeeee kumkubali.... Alipata mechi baada ya miezi mitatu na hapo gharama ndogo ndogo kateketeza kama laki tatu hivi... Kufika siku ya mechi sasa jamaa anakuambia hicho hakikuwa kisima but bwawa, halafu harufu iliyokuwa inatoka balaa, halafu haina joto... Mechi iliishia katikati kwa jamaa kusingizia tumbo linamkata....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…