Wanaume wanahangaika sana

We dada unajitahidi kujitetea hapa weeeh ila unaonekana inakuuma koz kama umemove on unaanzaje kumuita mpenzi mpya "KAJITU KABAYA'" tena unarudia mara mbili kwenye post kwenye reply umekazana tu. Kama ni mbaya au mzuri inakubusu nini si maisha yake,hadi umekuja kupost thread huku kweli?!inaonekana wazi jamaa kupata demu imekuuma sana moyoni/kichwani mpaka umeshindwa kuvumilia kuleta huku,afu unatujia na gia za wanaume wanahangaika unaGeneralize wanaume kwa maumivu uliyokua nayo kwa chalii mmoja kupata KAJITU KABAYA. Kama jamaa kaumia ndo katafuta demu mwingine ni yeye,ila wewe uliekuja kutuletea MPOSTI huku unaonekana umeumia square,fuata maisha yako,hata akidate n Umber Rutty inakuhusu nini,BullShit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationship
 
wewe tu ndio umeongea uhalisia wengine wanakazana ati ni wivu. halafu mimi sijamfatilia nimetuiwa tu picha
 
Roho kwatu kwatu,ungekuwa umemwacha wewe usingeleta Uzi hapa,roho kwatu kwatu unageuza maneno,sema ukweli.Tena demu unayemsema si alikuwa shoga yako?Kapindua meza,kwani anajali na ni mzuri kuliko wewe.Kwenderaaaaaa huko.
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…