Wanaume wanahangaika sana

hakafikii kwa K au kitu gani?ukiona hivyo na wewe bado unamtaka sasa huku unaleta ili tukusaidiaje?
 
Viumbe hebu mpeni pole na faraja My name is my name kwa nini mnampa za mbavu hivyo hali ya kuwa kaja kutema nyongo jukwaani mnataka ajiuwe kwa machungu ya kuachika [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana CAG amemwita dhaifu.
Kuachika kunauma jamaniii yaani dada yetu anatapatapa utafikiri mtu anaetaka kukata roho.

Maendeleo hayana chama
 
Jukwaa si la kuomba ushauri hili Unaweza kujikuta una mawazo zaidi [emoji3][emoji3]
My name is my name alikua haombi ushauri, alikua anatuchamba wanaume kua tukiachwa basi tutafute demu mkali zaidi kuliko yule aliekuacha ili hata ex wako akimuona roho imuume kama vile roho inavyomuuma yeye sasa hivi baada ya kumpiga bwanake talaka 3.

Maendeleo hayana chama
 

Acha kunifatilia
 
Fata mambo yako acha kumuwaza x wako hata kama unajutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA WEWE MJINGA NAKWAMBIA HIVI,

HUYU WA SASA HIVI ND'O NAOA KABISA ILI IKUUME VIZURI,
WEWE NILIKUACHA UENDE KWA SABABU KICHWANI HAUNA AKILI.

ENDELEA KUDANGA NA UTAZEEKA HIVYOHIVYO!!!

(Wakuu,
Msishangae sana, mimi nd'o jamaa mwenyewe,
Na amekuja kufungua uzi huku akijua kuwa nitauona kwa kuwa huwa napita huku).

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
SASA WEWE MJINGA NAKWAMBIA HIVI,

HUYU WA SASA HIVI ND'O NAOA KABISA ILI IKUUME VIZURI,
WEWE NILIKUACHA UENDE KWA SABABU KICHWANI HAUNA AKILI.

ENDELEA KUDANGA NA UTAZEEKA HIVYOHIVYO!!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
😱😱😱😁
 
Sijasoma Uzi wako wote ila unasumbuliwa na wivu na kama ulikuwa hujui sisi wanaume huwa tuko hv. Wewe kama jamaa alikuwa hakuhongi basi kwa huyo unaemwita "kajitu" ndo jamaa atakuwa anajiachia kuhonga mpunga kama wote. We baki na maneno yako ya uswahilini utazeekea kwenu! Mapenz siyo sura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashajua nyie wazur wa sura n empty mind bora kuchukua private face ndo unaweza dumu nae,ss ww jione kua amechukua asie mzur kumbe ndo wa future na ww utaendelea kudangaa tu mtaan
 
erence
Uzuri wa mwanmke si sura kumbuka hilo! Muwe mnauliza wazee wenu waliwapendea nini wenza wao sio mkurupuko tu.
Inaonekana umeshindwa kupambana na hali yako sasa humu usaidiwe vipi? Tumtafute tumuue au?
Halafu maisha sio mashindano sura ziko nyingi lakini nyuma ya hizo sura kuna uchafu mwingi sana, just try and move on hii mambo sijui kafanyaje achana nayo. Your name is your name and his name is his name.......a big difference!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…