Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya.
Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama hujajiingiza mtegoni mwenyewe? Muulize ni mstari gani Kati ya ile mingi niliyokupigisha saundi mvua ndio ulikuingia zaidi hadi ukanikubali?
Mwanamke ana jicho kali sana, anaweza kuku zooom kisha akayaona maisha yako ya miaka miwili ijayo. Hapa ndio unakuta demu mkali kuliko Pisi kali amemzimia MSELA WA MANZESE, halafu anasema nakupenda jinsi ulivyo, kumbe anaipenda ile green pasture anayoiona siku za usoni.
Rest in Eternal Peace Pius Ng'wandu