Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Hiyo mitusi yenu wala hainitoboa kanyweni chai ya tangawizi thread za kuwasema wanawake wasio na makalio makubwa wapite hivii,wanakiwa wameumika ila hawajafa eeee?ukweli ndo huu wanaume wafupi,Mara wanawake wanamabaka Mara wanawake wanapapuchii sijui zikoje,Leo limewashuka hapa tutaenda saw a na huo ndo utafiti wangu nishauleta kwenu povu liwamwagike na nyie sasa
Wewe ndiyo unayedharau wanaume wafupi kwenye magroup ya whatasap haya bhna ila angalia uzao wako na mume wako wanaweza wakawa wafupi! Binafsi mimi ni mfupi na nakerwa sana na hizo mada za "urefu"
 
We piga kelele tu, ila ukae ukijua tu mchawi wa mwanamke ni noti tu, hakuna cha seven packs, wala ustakencheke.
Ni kweli mkuu pesa ndo mpango binafsi mimi ni mfupi ila sijali ilimradi pesa ninazo nawapata tu
 
Hivi mtu mfupi huishia kimo gani? Kama ni hawa akina Fela, Mwnyi, Mzee wa Malofa, Joti, Tale, Floyd na mimi, utakua unatuonea wivu tu huna hoja..! [emoji6]
 
Hiyo mitusi yenu wala hainitoboa kanyweni chai ya tangawizi thread za kuwasema wanawake wasio na makalio makubwa wapite hivii,wanakiwa wameumika ila hawajafa eeee?ukweli ndo huu wanaume wafupi,Mara wanawake wanamabaka Mara wanawake wanapapuchii sijui zikoje,Leo limewashuka hapa tutaenda saw a na huo ndo utafiti wangu nishauleta kwenu povu liwamwagike na nyie sasa
Hee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wakija watakuongezeaaa passs nyingnee
 
Ha,haaa....bora awe mfupi alaf boss kuliko mrefu msukuma mkokoteni.
 
Pitia list ya marais wote wa Tanzania toka tanganyika iwe huru...then ona kati yao marais warefu ni wangapi na wafupi ni wangapi?? Probably wote ni wafupi.....kwa kigezo hicho naweza tetea wanaume wafupi wako very inteligent, watafutaji, wasiokata tamaa na mafaita kuliko watu warefu.
Ukitaka hela waone...ukitaka watoto wenye akili class waone pia...
 
Ufupi ni kilema kama Vilema wengine, muda wote hujihisi wanadharaurika basi wanakuwa wakorofi wakorofi tu afu wanajikutaga sana na usiombe awe na mapene.
 
We huna sera, chagua pori tu kati ya wami au mikumi ukaungane na wenzio!
 
...ufupi ni aina mojawapo ya utapiamlo...kwa jina jingine unaitwa udumavu...ama stunting kwa kimombo....aina hii ya udumavu hutokea ndani ya miaka miwili ya mwanzo baada ya kuzaliwa...na ubaya wa aina hii ya udumavu ni kwamba ni irreversible...yani ukishatokea haurudi hata kama mtoto atalishwa na kulelewa vema...Kuna vyanzo/sababu nyingi za ufupi...nyingine zaweza kuwa za kurithiwa(genetical)...lakini ufupi mwingi kwenye context ya nchi zetu hizi maskini ni udumavu(stunting)... Na moja ya athari zake ni poor performance mashuleni....fanyeni tafiti mtaliona hili...
 
Back
Top Bottom