Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

t
Kinjumbi nawe kwa visa duuh ,.,.,..sawa mimi ni ANDUNJE lakini machezo yangu SIO MCHEZO yaani pekecha yangu tunaweza kuwasha majani makavu na moto ukapatikana,achana na yule Kanjubai kizee ambae alikutia shombo la piplipili tu,njoo kwangu nikupe mtwangio wenye manundu manundu mpaka uhame mkoaau vipi?
toooobah!! mtoto wa marhem bi khadja mie....shuuntu
 
Raha ya mwanaume shurti akuinamia kukukiss akikuhug ujae kifuani ukitembea Nate umwangalie kwa juu kidogo siyo kitu nyundo chaaaaaaaaaaa,nyundo's pita hivi nasema
Ufupi unaosema wewe ni wafuti ngapi??
 
Hii nimeikuta sehemu kuwa mwanaume aliotitia chini yaani wafupi au mbegu fupi hata awe na mambo kiasi gani kwa gumu lake lazima umshindwe,yaani wanavisa,wachoyo,umimi na ubabe sasa nakujidai wanawivu,ukizingua tu sehemu yoyote ugomvi wake utaomba pool,hawakubali kushindwa.ila vinaperformance nzur on the bed.ila kama unaweza kumudu mikiki yao.angalizo huwa havisahau mambo haraka usikikosee wala kukichuna ohooooo.me napita zangu hivi naenda kwenye chai ya tangawizi.
Joti kakumwaga nini? inaelekea wewe ukiamka tu vizinga mchana kizinga jioni kizinga umemgeuza Joti Buzi sasa kakuita chura ndio umekasirika... msamehe tu omba akikupa shukuru na akikunyima sema hewara... Wewe unataka fimbo au Mali? ila usiumie sana njoo nikupoze machungu ya Andunje... Hujasikia yule jamaa aliye feli NBA marekani yupo mjini... Wadada sogeleeni maana nyie ndio mmechangia kiasi kikubwa jamaa kufail Basketball Marekani akiwemo joka mkate
 
vupizi mkuje maana kuna mtu anawachokonoa huku ku moyo
 
always kijanaume kiandunje kibamia lazima loooh akutake nan? hata pesa yako ntaikataa
Kibamiaaaaa? wewe tupinge halafu tuandae eneo la tukio ili nikuonjeshe KUBOTA machine ya Kijapani kama hujaomba poo, maana yake nakoboa mpaka povu jekundu linatokezea kwenye tigo,we chezea Andunje kama hujaenda kushonwa naniliu.
 
Joti kakumwaga nini? inaelekea wewe ukiamka tu vizinga mchana kizinga jioni kizinga umemgeuza Joti Buzi sasa kakuita chura ndio umekasirika... msamehe tu omba akikupa shukuru na akikunyima sema hewara... Wewe unataka fimbo au Mali? ila usiumie sana njoo nikupoze machungu ya Andunje... Hujasikia yule jamaa aliye feli NBA marekani yupo mjini... Wadada sogeleeni maana nyie ndio mmechangia kiasi kikubwa jamaa kufail Basketball Marekani akiwemo joka mkate
Duuh inamaana bwana Sabiti amepigwa kibuti na kina Obama? hebu nifafanulie maana vichangu dowa vilimsakama sana .
 
t

toooobah!! mtoto wa marhem bi khadja mie....shuuntu
Sasa mbona unashtuka? au huna mvuto nini? maana kama kweli una sura ya mauzo usingshtuka hivoooo,wewe wasiliana na mimi na huyo Kanjubai utamwona kama msalani ya ubungo kituo cha mabasi.
 
Sio kosa lako... Tatizo ni hilo jina lako la nyani akili zako za kinyani nyani..
 
  • Thanks
Reactions: irk
Hii nimeikuta sehemu kuwa mwanaume aliotitia chini yaani wafupi au mbegu fupi hata awe na mambo kiasi gani kwa gumu lake lazima umshindwe,yaani wanavisa,wachoyo,umimi na ubabe sasa nakujidai wanawivu,ukizingua tu sehemu yoyote ugomvi wake utaomba pool,hawakubali kushindwa.ila vinaperformance nzur on the bed.ila kama unaweza kumudu mikiki yao.angalizo huwa havisahau mambo haraka usikikosee wala kukichuna ohooooo.me napita zangu hivi naenda kwenye chai ya tangawizi.

Na wanaume tukitaka wanawake wanaotuzidi urefu huyo wako utampata wapi? Hiyo sheria iko wapi kuwa mwanamke ndo anatakiwa kuwa mfupi na mwanaume mrefu?

Ila umenifungua macho sikujua kwanini wanawake hupenda vifua vipana. Kumbe anataka kifua atachoweza kulalia kikatosha!
 
Watu wafupi tuna hasira na hii thread, hahah
 
Back
Top Bottom