Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Research na experience ulonayo ni dhahiri kabisa kwamba lilikua ndo chaguo lako hao wafupi na ushadeti nao wengi na sana, so baada ya kuumizwa unaleta dongo hapa... Sio wote wako hivyo ni baadhi yao labda naweza sema hivyo au wale wachache wapenzi wako tu ndio walikua na tabia hizo. Hakuna tafiti inayoleta majibu ya 100%.
 
Kumbe na wewe hayo huwa yanagusa nyani jike .Hebu tuambie katika hizo highlighted ipi ambayo inakuuma sana mpaka na wewe ukaamua kufanya huo utafiti wako wa kisayansi.Ila hongera kwa sababu naamini lazima ulifanya practical katika kuthibitisha uhodari wa hao viandunje wakiwa kitandani ukafaidi maufundi yao.I wish na mimi ningekuwa miongoni mwa hoa viandunje waliopata kufanyiwa analysis na wewe.
Hiyo mitusi yenu wala hainitoboa kanyweni chai ya tangawizi thread za kuwasema wanawake wasio na makalio makubwa wapite hivii,wanakiwa wameumika ila hawajafa eeee?ukweli ndo huu wanaume wafupi,Mara wanawake wanamabaka Mara wanawake wzikoje,anapapuchii sijui Leo limewashuka hapa tutaenda saw a na huo ndo utafiti wangu nishauleta kwenu povu liwamwagike na nyie sasa
 
magufuli fanya mpango hawa watoto 7000 warudi darasani lasivyo mtaani ni zaidi ya alshabaab
 
Nyani jike umesema kweli. Vijianaume vifupi vinaboa sana kwenye "shughuli" kwanza hata wakati mwingine wakati wa "kazi" kanakuwa na fujo kanaruka kama sungurua kutu kutu kutu mie kwa kweli wanaume wafupi hawanibariki kabisa
 
Lakini Sisi wafupi hatujapenda kuwa wafupi.
 
Wala dear,nliwah kuanzisha thread kama ya hii but kivingine watu wafupi sijui wakaanza kumwagika povu vibaya hadi mmoja nikampigisha ban ya siku tatu..Loh[emoji134]
Haya bwana ila msitutenge wafupi tunajua kujariii na kupenda kwa dhatiii
 
Mbona hii thread imekaa kama kujibu mapigo, kwani nyani jike we ni flat screen?? hahahaha
 
Raha ya mwanaume shurti akuinamia kukukiss akikuhug ujae kifuani ukitembea Nate umwangalie kwa juu kidogo siyo kitu nyundo chaaaaaaaaaaa,nyundo's pita hivi nasema
Wewe si ndo umesema huolewi umebaki kuwa mtazamaji. Nimeelewa kwa nini,
 
Hii nimeikuta sehemu kuwa mwanaume waliotitia chini yani (wafupi) au mbegu fupi hata awe na mambo kiasi gani kwa gumu lake lazima umshindwe,yaani wanavisa,wachoyo,umimi na ubabe sasa nakujidai wanawivu.

Ukizingua tu sehemu yoyote ugomvi wake utaomba poo,hawakubali kushindwa ila vinaperformance nzuri on the bed ila kama unaweza kumudu mikiki yao.

Angalizo huwa havisahau mambo haraka usikikosee wala kukichuna ohooooo! Mimi napita zangu hivi naenda kwenye chai ya tangawizi.
Nawatetea hao wakaka kwa sababu kwa nini uzingue halafu usitegemee ugomvi? Wewe ni aina fulani ya wale wanawake wanaopenda kuwa juu ya mwanaume kila kitu unataka uamue wewe ndani ya nyumba. SWALI: Katika ndoa zote au mahusiano yote yenye migogoro; Je; zinahusisha wakaka wafupi tu????
 
Mwezi umechomoza, Behavior has nothing to do with height. Kuna wahaya ni warefu vurugu zao zinajulikana
 
Raha ya mwanaume shurti akuinamia kukukiss akikuhug ujae kifuani ukitembea Nate umwangalie kwa juu kidogo siyo kitu nyundo chaaaaaaaaaaa,nyundo's pita hivi nasema
Hayo mafunza mkikosa wa kuwaoa huwa yanaoondoka.. Wanake bana Wana penda kujiumbia wanaume ambao hawapo duniani.. Labda kwenye photo shop. Akiwa mrefu akose pesa nayo na disaster.
 
Hizi dharau kwa sisi wafupi!binafsi mimi ni mfupi sipendi hizi habari za kudharau kimo cha mtu, tuheshimiane tu! Isitoshe karne hii ni ya kutafuta pesa sio urefu
 
Back
Top Bottom