Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Hayo mafunza mkikosa wa kuwaoa huwa yanaoondoka.. Wanake bana Wana penda kujiumbia wanaume ambao hawapo duniani.. Labda kwenye photo shop. Akiwa mrefu akose pesa nayo na disaster.
Unahakika wanaume alowadescribe hapo hawapo duniani?
 
...ufupi ni aina mojawapo ya utapiamlo...kwa jina jingine unaitwa udumavu...ama stunting kwa kimombo....aina hii ya udumavu hutokea ndani ya miaka miwili ya mwanzo baada ya kuzaliwa...na ubaya wa aina hii ya udumavu ni kwamba ni irreversible...yani ukishatokea haurudi hata kama mtoto atalishwa na kulelewa vema...Kuna vyanzo/sababu nyingi za ufupi...nyingine zaweza kuwa za kurithiwa(genetical)...lakini ufupi mwingi kwenye context ya nchi zetu hizi maskini ni udumavu(stunting)... Na moja ya athari zake ni poor performance mashuleni....fanyeni tafiti mtaliona hili...
Duuuuh!!!
 
Hiyo mitusi yenu wala hainitoboa kanyweni chai ya tangawizi thread za kuwasema wanawake wasio na makalio makubwa wapite hivii,wanakiwa wameumika ila hawajafa eeee?ukweli ndo huu wanaume wafupi,Mara wanawake wanamabaka Mara wanawake wanapapuchii sijui zikoje,Leo limewashuka hapa tutaenda saw a na huo ndo utafiti wangu nishauleta kwenu povu liwamwagike na nyie sasa
Wewe huna kalio?
 
Shida yako ni ufupi au kupigwa pumbu vizuri?
 
Raha ya mwanaume shurti akuinamia kukukiss akikuhug ujae kifuani ukitembea Nate umwangalie kwa juu kidogo siyo kitu nyundo chaaaaaaaaaaa,nyundo's pita hivi nasema
Kuwa na huruma, shauri yako.
 
Raha ya mwanaume shurti akuinamia kukukiss akikuhug ujae kifuani ukitembea Nate umwangalie kwa juu kidogo siyo kitu nyundo chaaaaaaaaaaa,nyundo's pita hivi nasema
Mkishafika miaka 28 hakuna mtangaza nia,mmeshaumizwa na mapenzi,mnaanza kukesha makanisani kila siku na kuomba,Mungu aje yeyote tu nitamkubalia!...ha ha haaaa.hata hao wafupi muda huo hawataonekana
 
Hiyo mitusi yenu wala hainitoboa kanyweni chai ya tangawizi thread za kuwasema wanawake wasio na makalio makubwa wapite hivii,wanakiwa wameumika ila hawajafa eeee?ukweli ndo huu wanaume wafupi,Mara wanawake wanamabaka Mara wanawake wanapapuchii sijui zikoje,Leo limewashuka hapa tutaenda saw a na huo ndo utafiti wangu nishauleta kwenu povu liwamwagike na nyie sasa
Utakuwa huna tako wewe? Vinasaba vya wahindi hapo vinahusika.
 
umetendwa ww hamna kundi lina waumiza wanawake kwenye mapenzi km wanaume wafupi nimeona hiloshm nyingi sn
 
Wajapan wengi ni wafupi, wako juu kwambo mengi mazuri, nyie pigine domo tu istoshe kwa Mungu hakuna kimo
 
Jamani hebu tusaidiane vzr hii ishu hv ni kweli tatzo ufupi au wenyewe wafupi ndio tatzo? Mi nadhani the way mtu anavyojiweka tu muonekano,tabia ana interact vp na watu mfano hai mi mwenyewe ni mfupi ila hz mambo mnazoongea hmu cku zote cjawahi kutana nazo heshma yng kubwa tu tangu nko shule hadi ss na wifi yenu maashallah bonge la mwanamke toto la pwani(huwa napenda gari kubwa nihangaike nalo) vivits, vistarlet tofauti na mm!
 
Warefu korodan zao ndefu lkn nahnhino fupi ila wafupi sasa asilimia 90 wana mkono wa mtoto mchanga na shuguli yao pevu
 
Back
Top Bottom