Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Hiyo mitusi yenu wala hainitoboa kanyweni chai ya tangawizi thread za kuwasema wanawake wasio na makalio makubwa wapite hivii,wanakiwa wameumbika ila hawajafa eeee?ukweli ndo huu wanaume wafupi,Mara wanawake wanamabaka Mara wanawake wanapapuchii sijui zikoje,Leo limewashuka hapa tutaenda saw a na huo ndo utafiti wangu nishauleta kwenu povu liwamwagike na nyie sasa
 
Eti na ww unataka comments nyingi hahahaaaaaa,wamekupuuza kajipange dada.
 
Raha ya mwanaume shurti akuinamia kukukiss akikuhug ujae kifuani ukitembea Nate umwangalie kwa juu kidogo siyo kitu nyundo chaaaaaaaaaaa,nyundo's pita hivi nasema
Ukute demu mwenyewe unavinasaba vya kihindi afu unasingizia watu wafupi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Utakuwa unajirahisi sana wewe..
 
Kama hujaolewa hapa unatudanganya, maana tayari ungekua umeolewa mrefu tayari. Wanaweke wanaangalia unanini, sio urefu au ufupi, mrefu ila kabwela utampisha apite zake, mfupi lakini ana vyake hupishi njia, acha kutudanganya hii ni siri yako sababu hatukuoni.
 
Hii nimeikuta sehemu kuwa mwanaume aliotitia chini yaani wafupi au mbegu fupi hata awe na mambo kiasi gani kwa gumu lake lazima umshindwe,yaani wanavisa,wachoyo,umimi na ubabe sasa nakujidai wanawivu,ukizingua tu sehemu yoyote ugomvi wake utaomba pool,hawakubali kushindwa.ila vinaperformance nzur on the bed.ila kama unaweza kumudu mikiki yao.angalizo huwa havisahau mambo haraka usikikosee wala kukichuna ohooooo.me napita zangu hivi naenda kwenye chai ya tangawizi.
Ushaumizwa tayari au vipi?,maana gemu imepigwa mpaka michubuko,halafu pesa kupewa hakuna na tigo pia maregea,.,.,.marabuk kwishney,sasa unakuja jukwaani oooh hii nimeikuta sehemu huku unabana pua au vipi?ndio mjue mjini unakuja na jembe je utalima lami?,rudini Mkuranga mkauze mafuta ya nazi na kashata.
 
Huyo nyani jike kaparamia migomba ya ndizi akapopolewa mawe na wenye mali zao,sasa hapa anakuja kurusha madongo ooh watu wafupi hivi,watu wafupi vile ooh ukiwachuna wanakumind ,.,,.,.wacachie wadada wenzio mali zao weyee.
karanja we kijanaume kifupi? ptyuu
 
Yaliwai kunikuta chuoni... am 5'7'' a girl once asked me 'who will date a short man like u?' Haikuniuma sana maana dem mwenyewe alikuwa mbovu by all standards

Nilikuja kuambiwa hivyo tena na wanawake wawili mida tofauti. Tatizo nilikuwa mfupi na mwembamba sana

Ila maisha yalipobadilika sijasikia hayo maneno kwa miaka mingi sana labda huwa wanaongelea tumboni!
 
karanja we kijanaume kifupi? ptyuu
Kinjumbi nawe kwa visa duuh ,.,.,..sawa mimi ni ANDUNJE lakini machezo yangu SIO MCHEZO yaani pekecha yangu tunaweza kuwasha majani makavu na moto ukapatikana,achana na yule Kanjubai kizee ambae alikutia shombo la piplipili tu,njoo kwangu nikupe mtwangio wenye manundu manundu mpaka uhame mkoaau vipi?
 
neno kuntu shoga...looh kijanaume unakibeba beba kitandani, had nyonga yauma
Yaani mnadanganyana au vipi? inaonekana marafiki zenu wanakula bata sasa nyie mmekali kishingo tuuuu mnakosa hata wa kuwatizama coz MVUO hakuna na marafiki zenu wanakula pipi gololi na nyie wivu na kiroho papo oooh kafupi oooh mfupi,tafuta wako basi au vipi?
 
Yaani mnadanganyana au vipi? inaonekana marafiki zenu wanakula bata sasa nyie mmekali kishingo tuuuu mnakosa hata wa kuwatizama coz MVUO hakuna na marafiki zenu wanakula pipi gololi na nyie wivu na kiroho papo oooh kafupi oooh mfupi,tafuta wako basi au vipi?
always kijanaume kiandunje kibamia lazima loooh akutake nan? hata pesa yako ntaikataa
 
Back
Top Bottom