Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,287
Dada usikosoe uumbaji wa MUNGU hata wao hawajapenda kuwa hivyo ila Mungu ndio kawaumba hivyo. Km ww ni mrefu mshukuru Mungu ila usiwadharau unaowazid urefu. Usimcheke mwenzio sbb bado unaishi hii ktk hii dunia unaweza kujikuta unazaa mbilikimo. Ukipata shukuru na uwaombee wenzio. Kwa jins unavyoonesha huyo mpenz wako ana kaz ziada.
Acha kukosoa uumbaji wa MWENYE EZI MUNGU utalaaniwa ww.
Kwan ww umejirefusha au? Ndio maana hakuna dawa ya hii kitu
THINK BIG
Acha kukosoa uumbaji wa MWENYE EZI MUNGU utalaaniwa ww.
Kwan ww umejirefusha au? Ndio maana hakuna dawa ya hii kitu
THINK BIG