Wanaume walioharibika akili

Wanaume walioharibika akili

Kumbee mpaka wanakuazima hayo magauni yako yaliyokaa kama gunia? Wakati walikuwa wanakunanga.

Basi kumbe hawajielwi kweli.

Lakin na wewe si huwa unavaa siku moja moja ukienda viwanja ama??
Siwezi.
Sio wote lakini..Hawa Ni wale wachache enzi izo za chuo
 
Sasa hukutakiwa kuikejeli maana unaweza kumkatisha mtu tamaa.
Mie nimejibu mada, kama unaona hiyo ni kejeli sio tatizo langu ni lako. Wanaume waloharibika akili ndio mafurushi yenyewe, au ulitakaje labda?
 
Nimejuta kwa kuanza kusoma uzi huu asubuhi ya leo.
Siku nyingine ujitahidi kufupisha na kupangilia taarifa yako bila kuchosha.
Unazingua mkuu haueleweki mara umedakia nguo za mashoga, mara ndoa, mara udaku, mara maadili ya watoto, n.k. aaaahh...!
Pole mkuu ukisoma kwa utulivu uzi umepangiliwa. Muhimuma umepata japo neno moja, mengine haya ni personal test. Pole tena kwa kukuzingua mkuu.
 
Uzi mrefu huu mmh!

Umeandika vya maana Sana wasipokuelewa ni viburi
 
Nilishasema na ninarudia tena hili. Sitokaa niwe chini ya Mwanamke kamwe, awe na elimu kunizidi au awe na kipato kunizidi ila siku zote Nitawaheshimu sana
 
Kitu huelewi wanaume ambao wanajielewa wapo ila wanawake hawawataki, hao masharobaro ndo wanawake wengi wanao wapenda na wanawategemea kujenga nao familia

Mfano angalia single mother wengi wao sio wote wanakahistoria cha kuwakataa wanaume wa maana Kwa kisingizio moyo hauja wakubali, na kuwakubali mashorabaro na mission town.

Kwa hy Uzi ulioleta una ukweli ila sio Kwa 100%, ila hongera
 
Bado tunajadili wale wavulana wanaovalisha Wanawake pete za uchumba/ndoa wakilia lia mbele za wakwe na wageni waalikwa katika kikao chetu Wanaume cha 7.

Huu umama hatuukubali kabisa na tutahakikisha wavulana wa aina hii tunawafyekelea mbali hata kwa kuchomoa betri.
Hata wale wanao piga magoti wakati wa kuvalisha Pete. Mwanamke ndie anapaswa kupiga goti
 
Kitu huelewi wanaume ambao wanajielewa wapo ila wanawake hawawataki, hao masharobaro ndo wanawake wengi wanao wapenda na wanawategemea kujenga nao familia

Mfano angalia single mother wengi wao sio wote wanakahistoria cha kuwakataa wanaume wa maana Kwa kisingizio moyo hauja wakubali, na kuwakubali mashorabaro na mission town.

Kwa hy Uzi ulioleta una ukweli ila sio Kwa 100%, ila hongera
Labda huelewi kuwa mwanamke anayemtaka sharobaro tayari akili yake imeshaharibika na sio wife material. Ndio kizazi tulichonacho, hawafuati mpangilio wa kiasili. Ni ajabu kama utamwona mwanamke analie eti ametendwa wakati alichagua kuolewa na mwanamume aliyeharibika akili. Huku ni kuoa ama kuolewa kwa malengo tofauti na tarajio mla mndoa halisi.
 
Wanawake ndo wanaume wanao wapenda Fanya utafiti utaona
 
Back
Top Bottom