DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Naomba samare ya kilichoandika bidadaHuwa napenda sana mada zako, umeweka ukweli mchungu hapa.....
Ngoja wavulana waje kukushambulia
Naomba samare ya kilichoandika bidadaHuwa napenda sana mada zako, umeweka ukweli mchungu hapa.....
Ngoja wavulana waje kukushambulia
Unakuta kijana amevaa suruali huku chini imemshika hiyo Hadi unajiuliza sijui anaivua vipi.
Haijafika juu kiunoni,imeishia matakoni halafu huku boxer lake km fuko la mkaa liko nje linaning'inia .
Halafu wanajionaga wajanja hao ..kumbe Ni wapuuzi tu.
Wazazi muwe mnawanyoosha Hawa vijana maana wamechanganyikiwa
My dear ninaposema mimi ni mconservative namaanisha ni kwa kila kitu kwanzia mavazi.Vipi wewe umenusurika hapa!??
Hizi suruali zinazowaacha Kaka zetu matako na boksa nje



Unadhani unaweza hata kuigusa!?Hahahahha!! Ukiwaona uwe unazivuta kwa nje hizo boxers zao ambazo zina ning'ing'ia ning'ing'ia kama fuko la mkaa.
Halafu hata mimi huwa najiuliza sana wanazifuaje hizi? Au wanavulishanaga na wenzao? Yaani nikimuonaga ndugu yangu yoyote kavaa hivyo huwa namuweka kwenye kundi la wasiojielewa kabisa natengeneza na distance kabisa
My dear ninaposema mimi ni mconservative namaanisha ni kwa kila kitu kwanzia mavazi.
Ukikutana na mimi utaniona nimevaa suruali pana kama ya Pepe Kalee na shati kubwa kama ya Braza K wa kwenye Futuhi.
Yaani mimi niko too old fashioned. Sijabahatika kabisa kuwa modernized labda unibadilishe wewe![]()






wewe sasa ndio mzuri.,napenda watu wasio enda na fashion.








Aliyesoma yote anitafute kwenye ile namba yangu ya voda.
wewe sasa ndio mzuri.,napenda watu wasio enda na fashion.
Hapa Kwenye nguo tumeenda sawa.
Kwa Mara ya kwanza nakuunga mkono jf
Mimi mume wangu sitapenda awe mvaa milegezo..yaani Mimi nikavae kibibi halafu mwanaume akavae suruali ipo chini ya matako Kama amejinyea humo ndani![]()


!! Haya nashukuru sana.


Hahaha!! Kumbe hata wale wadada wanaovaaga suruali za michano unawaonaga wajinga?Unadhani unaweza hata kuigusa!?
Kwa jinsi yanavyotoa harufu utadhani shimo la taka lipo huko matakoni Sasa..
Kuna midada nayo haijitambuagi,unakuta imevaa suruali zimechanika mapajani utadhani zimeliwa na panya.
Mi nikiyaona matoto ya Hivi huwa yananitia hasira Sana...wanangu wakija kuwa na huu ujinga ntacharaza Hadi wajue kuvaa suruali vizuri


Na wamo humu wanakuchora tu unavyo wananga.

Ngoja waje wakujibu na ushamba wako.Naomba samare ya kilichoandika bidada
Sasa hukutakiwa kuikejeli maana unaweza kumkatisha mtu tamaa.Nimesoma kichwa cha habari tu.
Ukisoma wewe na ukaja na magazeti inatosha.
Trend gani???Hahaha!! Kumbe hata wale wadada wanaovaaga suruali za michano unawaonaga wajinga?Na wamo humu wanakuchora tu unavyo wananga.
Wewe wenzako wanaenda na trending fashion halafu unawaona hawajielewi!!Ngoja waje wakujibu na ushamba wako.
Mume siwezi nikakosa, mume wangu yupo tu..Sina wasiwasi.Hahahahh!! Kwamba kwa mara ya kwanza!! Haya nashukuru sana.
Kwa hiyo na wewe uko old fashioned kimavazi?
Shauri yako uje ukose mume, vijana wa siku hizi wanataka masasta duu watakao endana na pigo zao za kibrazameni!! Sasa wewe endelea kuvaa magauni marefu kama contestant wa bibi bomba![]()
.Kumbee mpaka wanakuazima hayo magauni yako yaliyokaa kama gunia? Wakati walikuwa wanakunanga.Trend gani???
Washamba tu.
Dada mzima ukaache mapaja yametobolewa!!.
Nina sampuli za wadada wa Hivi,walikuwaga wananinanga Sana na magauni mifuko yangu ,mwisho wa siku wao wenyewe j2 wanakuja kuazima kwangu waendee kanisani
Halafu wanawake kama nyie mnakuwa na bahati sana ya kupendwa na mabaharia..Mume siwezi nikakosa, mume wangu yupo tu..Sina wasiwasi.
Hao vijana wanaovaa suruali Kama wamejititia matakoni wengi wao sio waoaji.
Kwanza kijana aliyevaa hivo siwezi hata kumpa nafasi kumsikiliza,,,atanambia Nini Kama yeye mwenyewe ameshindwa kuvaa vizuri.
Halafu pigo zangu huwa najikubali Sana.
Kwanza najiona napendeza Sana.
Mwanzo nilikuwa nanangwa na hao masisitaduu,baadaye wao wenyewe wananisifia kuwa nimependeza
Mungu humpa mtu wa kufanana naye.Halafu wanawake kama nyie mnakuwa na bahati sana ya kupendwa na mabaharia..
Yaani kwa hizo pigo zako hapo atatokea baharia atakuelewa kinyama hadi kutangaza ndoa.
Unajua wanaume pamoja na kujirusha sana na masista duu mara kwa mara, Lakin linapokuja suala la kuo huwa wanatafuta binti ambaye yuko decent na huo u-decent wenyewe unakuwaga reflected kwenye namna mtu unavyovaa.
Hivyo mpaka sasa hivi kuna baharia anakupigia mahesabu kaa ukifahamu hivyo.

