Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Wanaume wa siku hizi wanashangaza Sana .
Inasikitisha Sana.
Inasikitisha Sana.
♂️..ili jambo linazidi kushika kasiYaani mkuu ni aibu mno. Zamani mwanamke ndiye aliyekuwa analia machozi kwa kutoamini kama kweli kavishwa pete!! Mpaka wakati wa ndoa ilikuwa ni kilio kwa binti, sasa siku hizi sijui wanaume ndio wanakuwa hawaamini kama wamekubaliwa kuoa hawa mabinti!!?Unakuta mwanaume anapiga goti kumvisha mtu wake pete ya uchumba afu anaanza kulia
..ili jambo linazidi kushika kasi
Kwani Asprin anasemaje?
Ewaaaa.... mi hata muwa wananikamulia. Nimepanga kukutenga
Rudi nyuma shetani...Ha! Sijamwona muda, nikahisi kaondoka na ajali ya mafuta.
Oooh, hapo sawa.
Hujambo lakini?
😂😂😂😂😂Rudi nyuma shetani...
Ewaaaa.... mi hata muwa wananikamulia. Nimepanga kukutenga
Sijambo kabisa...hope uko sawa pia
Basi sikutengi tena. Nazidi kukuunganisha na mbavu zanguWanakukatia matunda na unanyonya ukwaju
Ukinitenga wewe naacha kutumia JF