Wanaume walalamikia uchafu wa wake zao

Kweli kabisa,Tungemaliza kwanza changamoto za upatikanaji wa maji...ni tatizo kubwa.
Maji ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu, kama hewa na chakula. Mbunge anaweza hata kuomba pesa kwenye ofisi za ma Balozi kama serikali imeshindwa kuwapatia maji.
 
Maji ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu, kama hewa na chakula. Mbunge anaweza hata kuomba pesa kwenye ofisi za ma Balozi kama serikali imeshindwa kuwapatia maji.
Sahihi kabisa.
 
Haaaaa MK254 ukuje kipande hii unahitajika.Ebu tueleze hizo changamoto za ushagoo mnatatua gani.

Hehehe!! Hatari sana, ila kuna kasoro kwenye hizi taarifa maana mimi kwetu kijijini ni huko jimbo la Gatundu na huwa tuna maji ya bomba kote kote, itakua uvivu wa hao wanawake wetu tu.
Sema pia kuna ndugu zangu huwa siwaelewi, kijana bado mdogo anampeleka mke akaishi kijijini halafu yeye anakuja na kuishi mjini Nairobi hapa mweyewe eti anasaka mishe. Kawaida kijijini inapaswa mkastaafie huko umri ukifika lakini mke ishi naye kwa raha za kimjini mjini, aoge na kujiremba ili umfurahie alivyo.

Lakini hili la maji hatuchekani, hebu ona hawa wanawake wa Tanzania wanavyonyukana kisa ukosefu wa maji

Halafu wakenya hawatumii maji maliwatoni. Wao ni toilet paper kwa wachache wenye hela na akili kichwani kwa makabwela.
Jiulize Sasa mke wa kabwela hajaoga siku mbili halafu wakenya wanapenda Sana ku chuma mboga za majani.
 
Hii hatari sana,unatoka umepakwa kinyesi😁
 
Back
Top Bottom