Wanaume Wako Wapi?

hv kwa nini kulikuwa na sodoma na gomora?
Sasa mada inaelekea kusiko mimi naona mitandao imetuharibu wanaume hapo awali sura ya mbunye tulikuwa
Hatuijui leo hata t££o kuinyonya tumekinai hivi huyo abdalla kichwa wazi atasimama kweli akiliona paja?
Dada zetu wana makosa wanatakiwa watuanzie romance za mbali turudishe fikra na kusahau uchovu
Napingana na mada Clinic zimejaa @ lep hao ni madume ya mbegu
 
SIO kweli ugumba wa wanaume ndo unasababisa lebainism kwa wanawake!!!Hat kidogo,utafiti wenyewe unasema hawana uwezo wa kutungisha mimba na sio uwezo wa jogoo kuwika!!! kama mambo madogo hivi mnashindwa tofautisha mnaishia kujiogopesha tu hii ni hatari zaid ya hatar yenyewe!!

Pili ina maana huyo mshkaji ndo mfano wa wagumba au???

Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba

ugumba-mh.jpg

UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili kati ya mwaka 2009 na Septemba 2010 unaonyesha, asilimia 47.05 ya wanaume wanaokwenda kupima afya zao za uzazi, hawana uwezo wa kutungisha mimba.Malengo ya utafiti huo uliosimamiwa na Dk Henry Mwakyoma, yalikuwa ni kubaini ni kwa kiasi gani wanaume huweza kuathiriwa katika via vyao vya uzazi na hatimaye kushindwa kutungisha mimba.

Utafiti huo ulionyesha kati ya wanaume 221 waliopimwa, asilimia 30.03 walikuwa na mbegu dhaifu na asilimia 17.02 walikuwa hawana kabisa mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba, zaidi ya maji tu.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, Dk Mwakyoma alisema, ugumba kwa wanaume limekuwa tatizo sugu katika miaka ya hivi karibuni.

Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba
 
Hapo tuko pamoja...SABABU lesbianism is a political choice, haihusiani kabisa na wanaume :biggrin:

hiyo ni cover up tu, huyo mdada wa kwanza aliniambia kabisa alikuwa na wanaume ila michosho tu - hatuwezi kazi, akataka kunionyesha youtube kuonyesha jinsi wanawake wanavyoweza kazi wenyewe kwa wenyewe kama mbadala!
 
SIO kweli ugumba wa wanaume ndo unasababisa lebainism kwa wanawake!!!Hat kidogo,utafiti wenyewe unasema hawana uwezo wa kutungisha mimba na sio uwezo wa jogoo kuwika!!! kama mambo madogo hivi mnashindwa tofautisha mnaishia kujiogopesha tu hii ni hatari zaid ya hatar yenyewe!!

Pili ina maana huyo mshkaji ndo mfano wa wagumba au???

kuna uhusiano mkubwa kati ya frustrations za ugumba na za ama jogoo kutowika au nanii kutokamulika!
 
Ndio na mimi namshangaa... kwani kaambiwa lesbians are lesbians because there are no men?

kama mwanaharakati wa jinsia na ufeministi nilikuwa naamini hiyo sio sababu ila, lo, kumbe ni sababu kubwa sana: there are no men, wanaume hatupo - tumekimbia jukumu, limetuzidi kimo; naam kazi imetushinda!

nature abhors vacuum - asili huchukia ombwe - la nature a horreur de vide
 
Sasa mada inaelekea kusiko mimi naona mitandao imetuharibu wanaume hapo awali sura ya mbunye tulikuwa
Hatuijui leo hata t££o kuinyonya tumekinai hivi huyo abdalla kichwa wazi atasimama kweli akiliona paja?
Dada zetu wana makosa wanatakiwa watuanzie romance za mbali turudishe fikra na kusahau uchovu
Napingana na mada Clinic zimejaa @ lep hao ni madume ya mbegu

umeanza vizuri ila umehitimisha vibaya, tatizo sio wanawake - tatizo ni sisi wanaume
 
Pili ina maana huyo mshkaji ndo mfano wa wagumba au???

Ndio maana yake, kashika kichwa kutokana na msongo wa mawazo hivyo hata kufanya nanii vizuri hataweza, ataishia kukimbilia mtaani baada ya kushindwa hiyo kazi na kupelekea mwenza wake atafute tiba mbadala!
 
Unaweza fafanua hapo kidogo? Wanaume wamekwisha kivipi?

Nimeshafafanua sana, hatupo kikazi - tupo likizo ya kiaina (AWOL) hivyo wafanyakazi mbadala wamechukua nafasi yetu!
 
kama mwanaharakati wa jinsia na ufeministi nilikuwa naamini hiyo sio sababu ila, lo, kumbe ni sababu kubwa sana: there are no men, wanaume hatupo - tumekimbia jukumu, limetuzidi kimo; naam kazi imetushinda!

nature abhors vacuum - asili huchukia ombwe - la nature a horreur de vide
Hata kama wanaume wangekua hawapo, do you really think that just one generation would swich from hetero to lesbians? Nadhani wnaonekana kua wengi zaidi sababu mtazamo wa jamii unawaruhusu kuonekana, but they have always been there.
 
Pia kuna mwanamama mwingine hapa alikuwa na ndoa ngumu sana na mumuwe baada ya kuachana kaona tiba mbadala ndio afadhali!
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini Waislam wameruhusiwa kuoa wake zaidi ya wanne. Nimekubali kwamba wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume (Hata TZ) hivyo inabidi tugawane ili angalau kila mwanamke apate mume. Hili la wanaume kuwa na kasoro nalo ni jipya kwangu. Nadhani dini nyingine nazo ziruhusu waumini wao kuoa wake wengi, maana wanaume tumekuwa wachache kuliko nilivyodhania utafiti huo unadhihirisha,na tatizo linalozaliwa ni wanaume kuoana yaani watazidi kupungua..!Hawa dada zetu watakimbilia wapi kama sio kufanya usagaji, mwisho wa siku hakuna kuzaliana na dunia haitajazwa.

Nadhani hili ndio jambo ambalo kanisa la Anglikana kule Marekani wangelizungumzia yaani kuwe na ndoa za wake wengi kwa Wakristo kuliko ndoa za jinsia moja. By the way wapi katika vitabu vya Kikristo imekatazwa kuoa wake wengi au yalikuwa ni maamuzi ya wachache??
 
ngoja nisaidie kuna
1) some girls like other girls! this has nothing to do with men, our availability or anything, it's just the way they are. they do not have romantic or s.e.x.ual desires for men.

2) some girls experiment in school. however they are straight as once they meet a nice guy they will hook with him, they lesbianism is a phase/experiment that goes away in time..
 
Nimeshafafanua sana, hatupo kikazi - tupo likizo ya kiaina (AWOL) hivyo wafanyakazi mbadala wamechukua nafasi yetu!

Vipi na wanaume ambao ni gays? Ina maana wanawake nao hawapo kikazi - wapo likizo ya kiaina (AWOL) hivyo wafanyakazi mbadala wamechukua nafasi yao? Kama wanaume walaumiwe kwa wanawake kuwa wasagaji, basi si wanawake walaumiwe kwa wanaume kuwa mashoga?

Halafu kwenye usagaji kuna watu wawili: masagaji na msagwaji? Wanaume walaumiwe kwa mwanamke kuamua kuwa msagaji, msagwaji or both?
 
ngoja nisaidie kuna
1) some girls like other girls! this has nothing to do with men, our availability or anything, it's just the way they are. they do not have romantic or s.e.x.ual desires for men.

2) some girls experiment in school. however they are straight as once they meet a nice guy they will hook with him, they lesbianism is a phase/experiment that goes away in time..

umejitahidi ila nakuambia hapa kuna mama wa watoto wawili kaachika baada ya ndoa ngumu na mumuwe sasa yuko na mwanamke mwenzake na wanazimikiana kichizi wala hakumbuki hitaji la mwanaume, enhe anafiti namba 1 au 2?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom