Wanaume Wako Wapi?

Mkuu hivi hii ni fasheni au nini? Binti wa Kiafrika. Mrembo. Ana kila kitu. Sasa inakuwaje? Wanaume tumeshindwa kazi?
wanadai eti sisi waswahili waongo.
Ila experience inaonyesha kuwa wengi wakishaolewa na watasha baadae wanatafuta kabongo kaserengeti maana wanadai wazungu 6x6 ni dhaifu!
 
wanadai eti sisi waswahili waongo.
Ila experience inaonyesha kuwa wengi wakishaolewa na watasha baadae wanatafuta kabongo kaserengeti maana wanadai wazungu 6x6 ni dhaifu!

sasa mbona huyu karuka wanugu na wabongo wote hapa kang'ang'aniana na hako kasichana ka kizungu kanakumbatia kwa nguvu zote?
 
Wanaume tusitafute visingizio. Haisadii kuonda tatizo. Tuanze kuwepo. Maana hatupo.
 
sababu zinazotajwa kuleta ugumba kwenye hiyo ripoti ndio hizo hizo zinazopunguza urijali mfano: "joto kuzidi katika sehemu za siri za mwanaume, kubeba laptop, unene kupita kiasi na mazingira" - Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba


Hukuna jipya bado all ni known findings ila kwa hiyo idadi ya watu 212 na generalization hii aliyoitoa (we have a land to dig.......) unless we go again and see "the sample" and its associate.......though this is nje ya topic husika......

Bado haiwezi kuwa sababu ya kufanya hoa ulowakuta kufanya hivyo......
 
Kama kweli uko interested na haya mambo tanua literature na uone the variation and discrepancy existing from developed to LDC's; Rural and urban.......Europe, America na the rest of the World

Amazingly waweza kuta hii mambo ni regional and context based na ngumu sana kuwa-generalized

you are too academic sir, unapingana na hali halisi - hivi huwa unasoma magazeti ya udaku bongo?

SKENDO YA USAGAJI INANIKOSESHA WACHUMBA-MSANII - Global Publishers

stress ziliniingiza kwenye usagaji: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/jini-kabula-stress-ziliniingiza-kwenye-usagaji
 
Hujaelewa nini? Kama tupo kwa nini wanachukuana wenyewe kwa wenyewe?
Mkuu kwani wewe ulikuwa unafanya nini hapo mpaka uje utuulize tuko wapi? Mimi binafsi sikuwapo hapo, othewise huyo mdada angepata rafiki mwingine wa kiume...
 
Mkuu kwani wewe ulikuwa unafanya nini hapo mpaka uje utuulize tuko wapi? Mimi binafsi sikuwapo hapo, othewise huyo mdada angepata rafiki mwingine wa kiume...

unahusika - hili ni janga la kimataifa!
 
Back
Top Bottom