Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
- Thread starter
- #101
Vipi na wanaume ambao ni gays? Ina maana wanawake nao hawapo kikazi - wapo likizo ya kiaina (AWOL) hivyo wafanyakazi mbadala wamechukua nafasi yao? Kama wanaume walaumiwe kwa wanawake kuwa wasagaji, basi si wanawake walaumiwe kwa wanaume kuwa mashoga?
Halafu kwenye usagaji kuna watu wawili: masagaji na msagwaji? Wanaume walaumiwe kwa mwanamke kuamua kuwa msagaji, msagwaji or both?
you are being too philosophical, unasahau kuwa wanaume kuwa mashoga nayo ni sehemu ya wanaume kuwa AWOL.