Wanaume Wako Wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume Wako Wapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Companero, May 19, 2012.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwa mara nyingine tena nimekutana na lile sakata. Safari hii ni la binti mrembo kabisa wa Kiafrika. Ana kila kitu ambacho kingemvutia mwanaume yoyote rijali. Baada ya kuona yuko karibu sana na binti wa Kizungu aliyekuwa akimkumbatia mara kwa mara kwa ukaribu wa hali ya juu wakati wa kucheza mziki nikahisi labda na yeye ni wale wale. Lakini nikajibishia moyoni kwa matumaini kuwa haiwezekani hasa ukizingatia kuwa hakuwa na dalili zozote - alikuwa amevaa kisichana kabisa, amechana nywele zake vizuri mno kwa staili ya yule mwanamama Angela Davis wa enzi zile za Afro na alionyesha kuvutiwa na mchombezo wangu. Ili kujihahikikishia kuwa siingii mkenge tena nikamchomekea swali hili: Inaonekana wewe na huyu dada ni marafiki sana? Akanijibu kwa kifupi: Akchwale huyo ni rafiki yangu wa kike! Salale, nikajisemea moyoni kwa uchungu, kweli wanaume tumekwisha duniani!
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  subiri waje
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu hivi hii ni fasheni au nini? Binti wa Kiafrika. Mrembo. Ana kila kitu. Sasa inakuwaje? Wanaume tumeshindwa kazi?
   
 4. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Sijakuelewa kaka......tumekwisha nini sasa hapo??????
  Mboga imeungua unalaumu kisu vipi hapa??????
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukiona kizuri hakiguswi, ujuwe kina kasoro tu.
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ye kazubaa kule hajafanya kitu, kaja lalamika...eti sisi tumezubaa.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  wanasuka mno siku hizi, hata hivyo bado wapo wachache.
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ungeomba 3some...
  siku hizi dunia imebadilika,na taste nazo zimebadilika.....
  wee ungemtokea tu labda yuko kote kote,mie huwaga sielewi kitu kimoja,wale ma lesbian ambao huwa ndio 'madume' utamu wanautoa wapi? au na wenyewe wananyonywa?.......:eyebrows::eyebrows::shock::shock:
   
 9. Companero

  Companero Platinum Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hujaelewa nini? Kama tupo kwa nini wanachukuana wenyewe kwa wenyewe?
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mi naomba threesome na wewe na rafiki yako yeyote wa kike ..unasemaje Jestina.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahha boss mie nakupa ofa na rafiki yako yoyote wa kiume....lol
   
 12. Companero

  Companero Platinum Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna mhubiri mmoja alihuburi Where are all the Men? sasa naanza kumuelewa, tatizo ni sisi wanaume - hatupo, tumeshindwa kazi, hivyo wanawake wanatafuta mbadala miongoni mwao wenyewe!
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Yerewiiiiii, kwetu Tanga tumezoea kuona wanaume wana mabwana, hoyo ya mwanamke kuwa na demu sidhani kama imeingia Tz
   
 14. Companero

  Companero Platinum Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  usikimbie lawama na majukumu, wote tumezubaa ndio maana wameishia kuwa hivyo
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  two dicks in one room ni taboo kwetu...
   
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD]

  Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba


  [​IMG]
  UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili kati ya mwaka 2009 na Septemba 2010 unaonyesha, asilimia 47.05 ya wanaume wanaokwenda kupima afya zao za uzazi, hawana uwezo wa kutungisha mimba.Malengo ya utafiti huo uliosimamiwa na Dk Henry Mwakyoma, yalikuwa ni kubaini ni kwa kiasi gani wanaume huweza kuathiriwa katika via vyao vya uzazi na hatimaye kushindwa kutungisha mimba.

  Utafiti huo ulionyesha kati ya wanaume 221 waliopimwa, asilimia 30.03 walikuwa na mbegu dhaifu na asilimia 17.02 walikuwa hawana kabisa mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba, zaidi ya maji tu.
  Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, Dk Mwakyoma alisema, ugumba kwa wanaume limekuwa tatizo sugu katika miaka ya hivi karibuni.

  Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 17. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160

  Wewe ni sehemu ya tatizo as ulikuwepo hapo na hukuonesha dalili yoyote ya kutaka kuokoa jahazi mkuu.......msome Jestina hapo kuhusu utatu
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisay inawezekana lakini mbona mimi sikutani nao :biggrin:
   
 19. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu upo dunia gani? Siku hizi wadada kusagana mbona ndo catalogue zenyewe labda kwa huko Tanga. Kama hawa msupa staa uchwara wa kibongo huo mchezo wanaona ndo chakula na mara nyingi huwa wanaanzia mashuleni huko katika shule za bodying girls tupu.
   
 20. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Hakuna uhusiano katika kitia mimba na kupiga kazi ndugu..........inference not valid sir
   
Loading...