Wanaume wagumba..........

Katika miaka michache niliyoishi hapa duniani nimejifunza kuwa ukweli haufichiki kwahiyo huwezi kuwa na amani. Dhamira yako lazima ikusute tuu.

Nikweli kabisa lazima dhamira itakusuta lakini itabidi uvumilie tu mana mtoto unataka na mume pia hutaki kumpoteza!
 
nilikuwa sijui pia kama huyo dada ana shida ya mtoto
sijui ingekuwaje
but siko tayari damu yangu kuigawa sadaka....
Mazee unasema tu, kuna wanawake wengine wewe unatoa sadaka tena sio mara moja, we omba usikutane nao :cool2:
 
Kuna jambo nimekutana nalo limenishangaza mno
nimeona nililete hapa na watu wengine waeleze uzoefu wao...

kuna watu wawili tofauti nawajua.....
inasemekana hao watu ni wagumba...
licha ya kuoa mda mrefu hawakufanikiwa kupata watoto
lakini wake zao walikuja kuzaa watoto....na inaonekana ni watoto
wa nje....au watoto wenye baba wengine.....

sasa hapa ndo nikabaki na masswali kibao ya kujiuliza....

kwa nini wanaume wengi hawataki kwenda hospitali kupimwa???
kwani inasemekana asilimia 90 ya matatizo ya ugumba yana tiba

la pili ni kwa nini inavyoonekana ni kuwa wanaume wakiwa wagumba
wanawake hutafuta watoto nje....?

na kwa nini wanaume huonekana kukubali hali hiyo?????

na je nyinyi mna ozoefu gani na kesi kama hizi?

mimi nimebaki nashangaaa na haya mambo......

Hallo Boss.Ulipotelea wapi yakhe! Karibu tena na mishangao yako.Uliyoyashangaa yote ni kweli na hutokea kama ntakavyoeleza.

Mshangao No. 1. Kwa nini wanaume wengi hawataki kwenda hospitali kupimwa:
Mimi ninayo mifano kama mitano hivi ya wanaume kuwa mbogo kabisa kwenda kupimwa. Mmoja kati ya hao ninaowafahamu alitoa sababu. Alisema hivi: "Wanawake ndiyo wenye matatizo ya kuzaa sie wanaume hayo matatizo yatatoka wapi? Kitandani natimiza wajibu wangu; napanda mbegu na kila kitu. Mianawake mingi bwana haizai" Cheki hayo mawazo ya kijinga Boss! Kwa mtu mwelewa utaona wazi kwamba baadhi ya wanaume wakiona jogoo lao linawika na kuweza kuliingiza kwa mwanamke, basi lazima ana uwezo wa kuzaa. Science ya sperm count na mambo kama hayo hawajui.Kwahiyo mtu kama huyu ukimwambia akapime hospitali atakutukana matusi ya kuli wa bandarini.

Mshangao No. 2. Wanawake hutafuta watoto nje. Hii ipo sana Boss. Linalotokea hapa ni 'peer work' Unawajua wanawake jinsi wanavyopenda kueleza wenzao matatizo yao. Wenzao hutoa ushauri: Hebu jaribu na mtu mwingine uone." Halafu zingatia jinsi wanawake wanavyotongozwa ovyo. Huyu ambaye hashiki mimba,lazima atasema 'yes' kwa mwanaume ampendaye na atashika mimba

Mshangao No. 3 Kwa nini wanaume (waume)huonekana kukubali hali hiyo?
Thi is purely a pschological matter. Kama mume anajiamini kwamba ana 'uwezo ' wa kumpa mkewe mimba, mke akishika mimba tatizo ni nini? Na wanawake hawa ni wajanja aisee! Akishaona tayarin kitu kimetumbukizwa, honey na darling zinasemwa mfulilizo mpaka jamaa analewa. Anayejua mimba ni ya nje ni mke na Mungu wake basi. Kwa hiyo Mume analelea mimba 'yake'.

Boss, bye, huo ndo mchango wangu wandugu!
 
unajua niliwahi experience
mwanamke mmoja kunitokea kwa nguvu mno
huku ameolewa.....halafu kama hajali watu kujua..
nilimkwepa...later on nikagundua mumewe ana tatizo hilo
huyo dada kazaa na mwanaume mwingine but still yupo kwenye ndoa..
nilibaki puzzled nilipokuja gundua the truth mwishoni....

Mkasa unaanzia hapa Boss...

Binafsi sijawahi kutana na hili balaa,

Ila mda wa baadae ukikutana na mkasa kama huu inatakiwa uokoe "uanaume" wa mwenzio.

Si unajua kule Mars tunavyofanya? Matatizo ya mwenzio unayaokoa kimyakimya bila hata ye kujua lol....

Nakipokea kisa hiki kwa mtetemo wa hali ya juu.
 
Mimi sijui naishi dunia gani??? mbona naona kama mnazungumzia fairy tales,yaani mke alete mimba ya nje,because i can not produce-na mimi nakubali!!!! just to save face!!!! well siwezi imagine.But mbona kiafrikaafrika bibi at a glance anajua kwamba so ni mjukuu wake???
 
Naomba nikujib swali lako la mwsho wanaume wengi sio kwamba wanakubaliana na hali huwa wanapeleka mambo kimyakmy sana! Na wengi wanaomba ushauri kweny mablog wakijfanya kuna rafk yake ana matatzo so anaomba ushaur! Wakat huohuo hata rafk yake wa karibu hajui kumbuka ni inshu ya kisaikolojia! So utakuta anamwambia mkewe akapime yeye haendi hata kwa fimbo! Habar ndo hiyo!!!
 
Nina kisa cha kaka mmoja baada ya miaka 5 katika ndoa na hakuna mtoto akaamua kwenda kujichunguza kisirisiri bila kumjulisha mke wake na kwa bahati mbaya akakutwa ana matatizo ya uzazi. Hajamjulisha mke wake rasmi kwamba alienda kupima mke wake alipata habari hizo kutoka kwa rafiki yake nesi working in that hospital.
M
ke amekaa kimya, aliombwa kabisa asije akatoa siri na huyo nesi aliyemtonya ila anachofanya sasa ni kubembeleza mume waende kupima lakini mume amekataa katakata. Nesi alikuwa anamtahadharisha tu dada asije akatafuta mtoto nje aje aseme ni wa mume wake angeumbuka vibaya sana.

Ni sawa mume kumficha mke jambo kubwa kama hili au ndio anamtega aone kama kuna mtu anamsaidia.

Hapo kwenye red ndipo pana tatizo kubwa.

...nahisi kwa mtazamo wa wengi wanadhani 'akishacheua' tayari zile ndio mbegu!
:puke::mimba:.....

Exactly.
 
Mkasa unaanzia hapa Boss...

Binafsi sijawahi kutana na hili balaa,

Ila mda wa baadae ukikutana na mkasa kama huu inatakiwa uokoe "uanaume" wa mwenzio.

Si unajua kule Mars tunavyofanya? Matatizo ya mwenzio unayaokoa kimyakimya bila hata ye kujua lol....

Nakipokea kisa hiki kwa mtetemo wa hali ya juu.

unatetemeka why????/
 
Mimi sijui naishi dunia gani??? mbona naona kama mnazungumzia fairy tales,yaani mke alete mimba ya nje,because i can not produce-na mimi nakubali!!!! just to save face!!!! well siwezi imagine.But mbona kiafrikaafrika bibi at a glance anajua kwamba so ni mjukuu wake???

uliza vizuri watu wako wa karibu hasa watu wazima
utashangaa
 
The Boss,

Katika dunia ya Afrika, hakuna mwanamume mgumba...Ndiyo maana mke asipozaa ni tatizo lake na siyo la mwanamume!

Na kama ndo hivyo, ataenda hospitali kupima nini wakati haumwi?

Hata hvyo hayo matatizo mengine ya kuhanja hanja nje kutafuta ka-baby ni ya kujitakia. Mila zetu zina solution ya karibia kila kitu....!!!

Enzi zetu, mwanamume alifanyiwa test kwa kupewa mwanamke mwingine eg shemeji zake. Ikishindikana basi mke wake anaombwa apate huduma ya shemeji zake...Lengo ni kuficha aibu ya ukoo!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom