Wanaume wagumba..........

Hahahahahaaa umenichekesha kweli kaka. Watu wanaichezea ego ya mwanaume wa Kiafrika.

Mfumo dume bado unatawala sana katika jamii zetu za Kiafrika.

Naona watu wamesahau hata yale tuliyokariri kwa nguvu sana kutoka kwa akina Chinua Achebe..Things Fall Apart!!

Ndo maana wale washikaji zangu, ukimugambila stupid in front of his wife, lazima akufanye kitu mbaya hata ikimulazimu kukung'ata kwa mweno au kukukwaruza kwa makucha!

Babu DC!!
 
Naona unasisitiza sana kua you knew her husband. so what would have been the situation if you didn't know him?

Duuuu....Hapo inabidi mtu aombe msaada wa kisheria kabla ya kujibu!!

(Siku hizi unaelekea kujifunza uchokozi RR...au na wewe umeanza kusoma btn lines???)

Babu DC!!
 
inawezekana aisee
sasa hapo utaona 'desperate situations'
zinavyowabadili watu

usikute aliwahi kusema huko mwanzo mkewe akitoka nje tu ni talaka
lakini tatizo linamfanya hadi mtu ashiriki kumsaidia mkewe 'kutoka nje;..

Hayo wanayasema watoto...Watu wazima ambao wameshapambana na mawimbi ya bahari huwa wanakuwa wapole na kukaa kimya kama vile hawajui kitu!!!
 
What if they decide together to do it? people can be desperate sometimes, they do unexpected things. Mbele yenu wanajifanya hawajui kua sio wao but if you could notice that, he could notice it too...

Hivi kwanini usichague lugha moja tu?
 
Hayo wanayasema watoto...Watu wazima ambao wameshapambana na mawimbi ya bahari huwa wanakuwa wapole na kukaa kimya kama vile hawajui kitu!!!

sasa hapa najiuliza kipi kigumu zaidi
kwenda hospitali kushirikisha wataalamu na shida yako
au kumruhusu wife atoke nje?????
 
nilikuwa sijui pia kama huyo dada ana shida ya mtoto
sijui ingekuwaje
but siko tayari damu yangu kuigawa sadaka....
You din't get my question, but nimepata hints from DC hapa chini.
Duuuu....Hapo inabidi mtu aombe msaada wa kisheria kabla ya kujibu!!

(Siku hizi unaelekea kujifunza uchokozi RR...au na wewe umeanza kusoma btn lines???)

Babu DC!!
 
sasa hapa najiuliza kipi kigumu zaidi
kwenda hospitali kushirikisha wataalamu na shida yako
au kumruhusu wife atoke nje?????

Mbona nimeshakueleza huko nyuma...Kwa mila zetu sie, mke wangu hatatoka nje bali atapata huduma kutoka kwa shemeji zake!!!

Kwani kuna ubaya gani hapo??

Babu DC!!
 
sasa hapa najiuliza kipi kigumu zaidi
kwenda hospitali kushirikisha wataalamu na shida yako
au kumruhusu wife atoke nje?????

Duh! Hapo ni kheri kwenda kumuona urologist tu.

Kwa Marekani urology ni moja ya fani za udaktari zenye ushindani wa hali ya juu kabisa. Kwa Tanzania tukiwa na hata ma urologists 50 nitashangaa sana!!!!
 
Mbona nimeshakueleza huko nyuma...Kwa mila zetu sie, mke wangu hatatoka nje bali atapata huduma kutoka kwa shemeji zake!!!

Kwani kuna ubaya gani hapo??

Babu DC!!

ha haa haa nimekuelewa
nauliza kwa hawa watu wengine
wanajikausha tu usoni
huku wanaumia....
 
Kweli lakini....

Haki ya nani, tukikusikia kuwa umeenda kukamuliwa kule ikulu ili upimwe tunakutenga kabisa....

Hivi unaweza kusimama mbele ya nani ukajiita kuwa na wewe ni mwanamume baada ya kwenda kubonyezwa bonyezwa kama vile una mimba changa???

Babu DC!!!
 
Back
Top Bottom