Wanaume wagumba..........

Sometimes I wonder what would become of our families if we all had to have paternity tests done.

Which brings me to the Maury Povich show....it'll probably go something like this....'in the case of four year old Ngababy, Ngabu, you are not the father'.

It's devastating!

Last edited by a moderator:

But her body language did not seem to correspond with what she was saying. Probably, ndio maana Povich kept asking her the same question? Is paternity fraud a criminal offence? If not, should it be? As one suggested on YouTube, should we make paternity tests mandatory for newborn babies? The technology is here, so should we use it to stamp out paternity fraud?
 
Kwa vile it is not easy to know who is the father, not even for the woman, I think it would be difficult to prove that there was that intention to make the father believe he is the father, knowing he is not. women will all say they did cheat, but they didn't know the kid was not their man's...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
But her body language did not seem to correspond with what she was saying. Probably, ndio maana Povich kept asking her the same question?

I agree. She didn't speak with conviction.

Is paternity fraud a criminal offence? If not, should it be?

In the US I don't think it is and it should not be.

As one suggested on YouTube, should we make paternity tests mandatory for newborn babies? The technology is here, so should we use it to stamp out paternity fraud?

I don't think it should be mandatory either. It should remain voluntary unless it's court ordered for the purposes of establishing child support payments.
 
Za kazi gani wakati hakuna mwanamume mgumba hata mmoja??

Babu DC!!!

Umenikumbusha mbali; my bro ana zaidi ya miaka 17 ya ndoa bila mtoto. Miaka ya mwanzo, alivyoenda kwa mshua kulalamika; baba akamwambia huenda wewe unatatizo mbona hatujasikia hata kesi ya kusingiziwa? My bro was mad lkn after years akatuintroduce kwa mtoto wa kusingiziwa!

Back to wifi; she use to have lots of abortions so huenda imeathiri? Sijui sana lkn ni sensitive topic kwao!

Ukitaka ugombane na my bro mwambie habari za kuoa mke mwengine au nyumba ndogo. Hiyo hunipa maswali pia!
 
Back to wifi; she use to have lots of abortions so huenda imeathiri? Sijui sana lkn ni sensitive topic kwao!

Hii nayo ni mbaya sana. Kuna mdada namjua alishusha si chini ya tano kwa hesabu za haraka haraka. Sasa hivi kaolewa na anatafuta mtoto lakini wapi.

Kila akipata ujauzito mimba inaharibika.
 
Hii nayo ni mbaya sana. Kuna mdada namjua alishusha si chini ya tano kwa hesabu za haraka haraka. Sasa hivi kaolewa na anatafuta mtoto lakini wapi.

Kila akipata ujauzito mimba inaharibika.

I know!
wapi unazishushia (hosptl v/s uchochoroni) huwa na impact kubwa kwenye kuharibu uwezo au wa kuconcieve au mimba kukua. Sina takwimu lkn kuna no ya kutosha tu ya wadada hasa wasomi ambao wameshusha at least one over the course of their schooling lives.

Imagine majuto apatayo mtu aliyetoa na baadaye kukosa mtoto! Inauma sana!
 
Uliponea chupuchupu kubakwa mkuu!
Saa hizi mwanao angekuwa analelewa na baba wa kambo bila kujijua,lol

Niliwahi kumuuliza dada mmoja kuhusu hili alinijibu kimaandiko 'mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake mwenyewe'. Mbaya zaidi mwanaume aliyebakwa kuwa donor hajui na hatokaa ajue khabari hii.
unajua niliwahi experience
mwanamke mmoja kunitokea kwa nguvu mno
huku ameolewa.....halafu kama hajali watu kujua..
nilimkwepa...later on nikagundua mumewe ana tatizo hilo
huyo dada kazaa na mwanaume mwingine but still yupo kwenye ndoa..
nilibaki puzzled nilipokuja gundua the truth mwishoni....
 
NN, matatizo ya uzazi yanaweza kumtokea yeyote tu. Kuna aliyeolewa na bikra kabisa (original, natural) na alipata miscarriages karibu kumi nadhani lakini sasa ana 2 kids expecting wa 3. Na nilikutana na mrembo mmoja akaniambia alishatoa mimba zaidi ya 20 na ana one kid. Explanation yake ni kuwa ana allergy na latex, getting non-latex condoms ni kazi. And she is fertile everyday even during her period (the wonders in medical fields, its amazing!)Nilishindwa kumuambia aachane na biashara ya sex...
Hii nayo ni mbaya sana. Kuna mdada namjua alishusha si chini ya tano kwa hesabu za haraka haraka. Sasa hivi kaolewa na anatafuta mtoto lakini wapi.

Kila akipata ujauzito mimba inaharibika.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Duh! Hapo ni kheri kwenda kumuona urologist tu.

Kwa Marekani urology ni moja ya fani za udaktari zenye ushindani wa hali ya juu kabisa. Kwa Tanzania tukiwa na hata ma urologists 50 nitashangaa sana!!!!
Ndugu yangu NN bongo kumekucha siku hizi, fertility clinics zip kibao siku hizi mpaka IVF inafanyika locally,mikocheni peke yake zipo mbili (baraka plaza NA nyingine kona ya cocacola).
 
Ninao mfano wa familia moja jamaa alikuwa mgumba alikubalina na mke akatafuta bwana wa kumzalisha na mama alifanya kwa siri na heshima kubwa ya familia yake alizalishwa na bwana wa pembeni watoto wa3 na hiyo ikabaki siri yake na mmewe na hata mmwaga mbegu hakujua mpaka yule mgumba alipofariki ndipo aliujua ukweli.
 
Nina kisa cha kaka mmoja baada ya miaka 5 katika ndoa na hakuna mtoto akaamua kwenda kujichunguza kisirisiri bila kumjulisha mke wake na kwa bahati mbaya akakutwa ana matatizo ya uzazi. Hajamjulisha mke wake rasmi kwamba alienda kupima mke wake alipata habari hizo kutoka kwa rafiki yake nesi working in that hospital.
M
ke amekaa kimya, aliombwa kabisa asije akatoa siri na huyo nesi aliyemtonya ila anachofanya sasa ni kubembeleza mume waende kupima lakini mume amekataa katakata. Nesi alikuwa anamtahadharisha tu dada asije akatafuta mtoto nje aje aseme ni wa mume wake angeumbuka vibaya sana.

Ni sawa mume kumficha mke jambo kubwa kama hili au ndio anamtega aone kama kuna mtu anamsaidia.
 
Uliponea chupuchupu kubakwa mkuu!
Saa hizi mwanao angekuwa analelewa na baba wa kambo bila kujijua,lol

Niliwahi kumuuliza dada mmoja kuhusu hili alinijibu kimaandiko 'mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake mwenyewe'. Mbaya zaidi mwanaume aliyebakwa kuwa donor hajui na hatokaa ajue khabari hii.

Lakini tukiangalie upande mwingine wa shilingi kuliko familia iendelee kuteseka,na saa nyindine mpaka watu kufikia kuachana ni bora tu mwanamke akatafute mtoto nje but kikubwa cha kuchunga ni mume kutokujua ukweli then familia ibaki kuwa na amani!
 
Mume asijue ukweli? That to me spells disaster in every language.
 
Mume asijue ukweli? That to me spells disaster in every language.

Yes NN mume asijue ukweli,wanawake wameumbwa na vifua vya kuhimili mambo magumu ,but kwa wanaume ni ngumu mtu anaweza mpaka akanywa sumu,chukulia mfano mdogo tu mwanamke anaweza letewa mtoto wa nje na akatulia tu lakini mwanamme hawezi!
 
Kila mtu kivyake lakini mimi sioni busara wala hekima katika kumficha mume. Hapo utakuwa huwatendei haki watu wengi tu akiwamo mume, mtoto, baba mtoto wa ukweli, ndugu, pamoja na jamaa wengine.

Manake ndugu wa mume watakuwa wanaamini huyo ni mtoto wao kumbe wapi, umewadanganya. Kweli kabisa katika nafsi yako unaona kufanya hivyo ni sawa?
 
kikubwa cha kuchunga ni mume kutokujua ukweli then familia ibaki kuwa na amani!
Katika miaka michache niliyoishi hapa duniani nimejifunza kuwa ukweli haufichiki kwahiyo huwezi kuwa na amani. Dhamira yako lazima ikusute tuu.
 
lakini wake zao walikuja kuzaa watoto....na inaonekana ni watoto
wa nje

kwa nini wanaume wengi hawataki kwenda hospitali kupimwa???
kwani inasemekana asilimia 90 ya matatizo ya ugumba yana tiba

la pili ni kwa nini inavyoonekana ni kuwa wanaume wakiwa wagumba
wanawake hutafuta watoto nje....

Nianze na hapo kwenye Rangi nyekundu

Kutozaa/pata watoto kuna sababu nyingi na si ugumba peke yake
Hivyo mwanamke kuzaa baada ya kubadili mume linawezekana sana

Kuto kwenda hospitali ni mkutokana na ukosefu wa ELIMU YA UZAZI , Wengi hufaahamu kwamba maadamu uume unasimama basi watoto watapatikana

Wanawake kwenye ndoa yenye tatizo kama hili kutafuta watoto nje ni kwenye kujitoa kwenye LAWAMA, maana huonekana hawazai kumbe sio
 
Kila mtu kivyake lakini mimi sioni busara wala hekima katika kumficha mume. Hapo utakuwa huwatendei haki watu wengi tu akiwamo mume, mtoto, baba mtoto wa ukweli, ndugu, pamoja na jamaa wengine.

Manake ndugu wa mume watakuwa wanaamini huyo ni mtoto wao kumbe wapi, umewadanganya. Kweli kabisa katika nafsi yako unaona kufanya hivyo ni sawa?

Inabidi tu ujikaze iwe sawa mana ukiangalia ni kweli mtoto unataka na pia hutaki kumpoteza mume!
 
Back
Top Bottom