Wanaume wabaya sana

Atukatai lakini kuweni wakweli kama mnapita au vipi sio unapita alfu unamuaminisha mtu upo sanaa unamalengo hapo ndo tunapoumizana aiseee ukweli unauma lakini ndo mzuri kuliko uongo mtamu bora ukweli mchungu mm napenda mtu open then u choose u go with it au vipi
 
Haya mambo bwana huwa hayana cha jinsia, yoyote yule aliyeamua kuuingia mchezo wa mapenzi ni LAZIMA atapata cha kusimulia, ni LAZIMA uwe na tukio la kusimulia.

Halafu bwana sijui yaliumbwaje tu, ukipigwa tukio kila ukikumbukia maumivu ni kwenye moyo na tumbo kwa pamoja😄.

Kaa utulie, litapita na utasahau.
 
Sasa tukisema ukweli hatutapata mbususu lazima uwongo utumike.
 
Kwahiyo nikikuambia napita utanikaribisha tu[emoji23]

Sidhani kama ni rahisi hivo...
 
Wanawake wengi hapa ndio udhaifu wenu ulipo hasa mnaotaka kuolewa huwa mnadanganyika kiurahisi sana

Na wanaume wengine huutumia huu udhaifu wenu ili wawakule vizuri ni ngumu kumnyima mbususu mume mtarajiwa na hata wengine hupunguza vizinga wakihofia wasimkwaze mume mtarajiwa

Mkija kushtuka mmeshatumika sana na jamaa hana future na wewe.

Hapo ndo wanaume huwa tunatofautiana wengine wanakuwa wazi kwamba hapa ni friends with benefit wengine wadanganyifu
 
Hivi Hadi mwenzio anakukuta ni kukosa adabu
Upendo utabaki kwako lkn Kwa unaenipenda unakuwa umeshauvunja upendo huo
 
.... uwa mnaanza kuacha vinguo kimoja kimoja mjengoni kabla ya maridhiano kuwa ww ndio Mama mjengo....ss hayo ndio malipo yake.Kakwambia kwa vitendo....btw pole sana....kweli Wanaume huruma hatuna
Jisemee pekee yako kuwa hauna huruma ila usiseme wanaume sote in general.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Aisee sio sababu na sio Kila mwanamke anapenda hivo na wanaume wengi hawajatulia ilo halina ubishi sema tu mnaziidiana
Kwanza kudate na mwanaume haeleweki kujifanya unapenda sana alafu anakusaliti Aisee ni matumiz mabaya ya dhambi 😂😂😂😂
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Unaendaje kwa watu bila taarifa? Tusijimilikishe hao watu until uko na vipete viwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…