Wanaume wabaya sana

Wanaume wabaya sana

Unakujaje bila taarifa? Kilichofanywa sio Jambo jema ila taarifa muhimu Sana.
 
Wanaume hatuchukuliagi mapenzi serious sana. Sisi kwa 75% tunavutiwa kula mbususu. Sasa wanawake ndio wanaongezaga mbwembwe kama vile kuvaa nguo alizokuta site, kufagia, kudeki, kufua, kupika. Wakati sisi utamu wetu ni mbususu.
Hayo mengine unamkodi hata mama wa makamo anafanya unampa hela kidogo.
nimepata kitu hapa🤔
 
Niliondoka tu siwezi gombona becaus of dick
That's a good of hearted woman. Nimependa hatua ulioichukua, pole sana kwa uchungu ulioupata mrembo. Yawezekana umeoneshwa rangi zake halisi ili ufanye maamuzi sahihi sasa......
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.

IMG_1360.jpg

Pata ujumbe kidogo
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.

Tafuta mwanaume mwingine, mbona tupo wengi tu...
 
Mambo madogo sana hayo
Unasemaje sasa unamuacha
Au unaendelea nae
Karibu PM Kwa Ushauri na hatua Zaidi
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Nikutakie pasaka njema madam.. wazuri tupo ila viba100
 
Tupo pia ambao mchep mmoja hawezi kumjua mchep mwingine...wote wanahudumiwa equally 🤓
Eeh kumbe umeshaoa mkuu na unataka kuongeza mchepuko?😆 Embu mtupe nafasi sisi masingle tupate wakushare nao maisha 😄😄
 
Back
Top Bottom