CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
KinomaJF recently imechangamka kweri kweriiii hiih
KinomaJF recently imechangamka kweri kweriiii hiih
😂 mbona kawaida sana kuna kale kamswaki kila KE akija anajua ni wakwake.Miswaki wana-share!
Ni pmBinadamu wapo watakushauri wapo watakao kuongezea maumivu🤣unachukua yanayokujenga mengine unawaachia😀
Yupo humu na anasomaHivi wewe Mwanamke unatunga au ni kweli yanakukutaga?
Ushauri: penda mtu wa size yako
Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Taarifa muhimuHellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Na wewe kaa kimya mpaka uolewe halafu zaa na mwanaume mwingine watoto watatu ukiwa ndani ya ndoa, inakuwa ngoma droo.Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Yes , saivi narudi high class zangu hapo nilipo naenda shopping Leo naenda kumpendeza narudi gym , na pambana saivi niwe naenda gym zile za gharama , maana Mimi nilikuwa napendwaga na hao sio kajambanani hujui swaga zangu kiuono kiuno . Cheni za gharama sijiuzi ila napendwa ngojaHivi wewe Mwanamke unatunga au ni kweli yanakukutaga?
Ushauri: penda mtu wa size yako
Ungeweza ww au unaongea tu 🌔😅Unaingia chumbani unaoga unalala Alf hapo uongei na yyte.
Na hyo siku huondoki unalala hapo hapo.
Wanaume wachache
Mim kitu ka hicho ni kidg kwangu woi.Ungeweza ww au unaongea tu 🌔😅
Duuh kazi kwelikweliMim kitu ka hicho ni kidg kwangu woi.
Na wewe kwanini uende bila taarifa?ina maana hukufuatilia matokeo ya sensa mwaka jana?hujui wanaume tuko wachache na wengine mashoga..siku nyingine toa taafifa.Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Umegusa mule mule 😂😁😁Mapenzi ni siri nzito sana .....unapenda usipopendwa.....wanaokupenda wewe huwapendi