Wanaume wabaya sana

Wanaume wabaya sana

Unaendaje bila taarifa kwa mpenz wako mpigie simu kumbuka hapo syo kwako Bado hamjafunga ndoa

Ule ujinga wa kuacha chupi kitenge shat katka gheto la mpenz wako n ushamba
 
pamoja na hayo yote bado unampendaaeee

ktk mahusiano ambayo hayajarasimishwa weka asilimia 60, na yaliyorasimishwa weka asilimia 80
asilimia 100 huwa ina ukakasi sana
 
Yes , saivi narudi high class zangu hapo nilipo naenda shopping Leo naenda kumpendeza narudi gym , na pambana saivi niwe naenda gym zile za gharama , maana Mimi nilikuwa napendwaga na hao sio kajambanani hujui swaga zangu kiuono kiuno . Cheni za gharama sijiuzi ila napendwa ngoja
Shoga ulitoka kulea

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Yes , saivi narudi high class zangu hapo nilipo naenda shopping Leo naenda kumpendeza narudi gym , na pambana saivi niwe naenda gym zile za gharama , maana Mimi nilikuwa napendwaga na hao sio kajambanani hujui swaga zangu kiuono kiuno . Cheni za gharama sijiuzi ila napendwa ngoja
Babe love.
Muke ya tajiri🥰🥰🥰
 
Acha kuwaza sana Mamitoo,,kama hutojali tuanzishe penzi letu na sisi,,nawe uvae tisheti zangu nilizoletewaga na mwanamke mwenzio!!!Maisha haya ukisubiri binadamu akuridhishe hakuna wa namna hiyo kwa ulimwengu huu tangu uumbwe,,,Usisubiri endelea kuishi maisha ni wewe kwanza!!!
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
WANAUME!😔 Umeshawahi nikuta hiyo scenario
 
Tulia uone Kama anakupenda atakufata..
Hapo ndio utakapo cheza vizuri karata zako!
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Ni wanaume wabaya au ni mwanaume wako ndo mbaya?
Pole sana

Msamehe tu

Tunapendaga kwa mafungu mafungu

Pale tutapenda kalio,hapa tutapenda rangi,kule tutapenda kiuno,sauti,maujanja
Wanaume ni wabaya AU MWANAUME wako ni mbaya?
 
Ndo mapenzi yalivyo, fikiria umemnunulia gari mwanamke, ukaampangishia nyumba, ukamnunulia iphone, anatumia simu hiyo kuchat na msela, analeta msela anamgonga kwenye hiyo nyumba, then msela anaondoks na gari kwenda kwake kisa kuna mvua haeezzipanda mwendo kasi.
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Sasa kumkuta huyo mwanamke kavaa khanga na tishet yako, ndio utuambie sisi wabaya mbaya ni huyo aliyevaa nguo zako sio sisi
 
Back
Top Bottom