Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Uamuzi mzuri na usiingie kwenye mahusiano mapya haraka haraka eti ili umuumize.Nimejiendea mwaya break
😀😀😀 mwanamume ambaye haeleweki yupoje?Kwanza kudate na mwanaume haeleweki kujifanya unapenda sana alafu anakusaliti Aisee ni matumiz mabaya ya dhambi 😂😂😂😂
😀😀Ziweke wazi... Ukificha ujue kunguni
Pole dear umeongea Kwa uchungu😂😂😂Mwanaume unaongea naye hasa hadi umezoena Naye miezi 3 na zaidi ila kumbee anakuchora mbwa yule baadae kaenda Kwake unapigiwa simu unaambiwa mke wangu halali Kisa message zako , halafu mkewe anakupigia kukukanya uache usumbufu nahuku ulikuwa inaitwa mrembo wangu umeamkaje , Masai wangu mzima dah wanaume kiboko saivi acha kuandika message mbaya mke wangu hazitaki . Yallah , mtume simama wanaume wanaume ila yote maisha ipo siku yangu .aisee ....
Wanaume wapo ila wangu yupo mahali tu sijui kwanini najitoaga ufahamu situliagi hadi aje sijui kwanini
Asilimia kubwa ya wanawake huwa mnaangalia hilo na ndio maana wanaume wanawapiga matukioAisee sio sababu na sio Kila mwanamke anapenda hivo
Wapo lakini sio wote lakini nature wanaume hamuaminiki haijalishi awe nacho au HanaAsilimia kubwa ya wanawake huwa mnaangalia hilo na ndio maana wanaume wanawapiga matukio
😂😂😂💔 pole sana mdada.Mwanaume unaongea naye hasa hadi umezoena Naye miezi 3 na zaidi ila kumbee anakuchora mbwa yule baadae kaenda Kwake unapigiwa simu unaambiwa mke wangu halali Kisa message zako , halafu mkewe anakupigia kukukanya uache usumbufu nahuku ulikuwa inaitwa mrembo wangu umeamkaje , Masai wangu mzima dah wanaume kiboko saivi acha kuandika message mbaya mke wangu hazitaki . Yallah , mtume simama wanaume wanaume ila yote maisha ipo siku yangu .aisee ....
Wanaume wapo ila wangu yupo mahali tu sijui kwanini najitoaga ufahamu situliagi hadi aje sijui kwanini
Poleni sana sometimes mkubali tu kuwa michepuko.baadae kaenda Kwake unapigiwa simu unaambiwa mke wangu halali Kisa message zako , halafu mkewe anakupigia kukukanya uache usumbufu nahuku ulikuwa inaitwa mrembo wangu umeamkaje , Masai wangu mzima dah wanaume kiboko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Da maua eti nn??Mwanaume unaongea naye hasa hadi umezoena Naye miezi 3 na zaidi ila kumbee anakuchora mbwa yule baadae kaenda Kwake unapigiwa simu unaambiwa mke wangu halali Kisa message zako , halafu mkewe anakupigia kukukanya uache usumbufu nahuku ulikuwa inaitwa mrembo wangu umeamkaje , Masai wangu mzima dah wanaume kiboko saivi acha kuandika message mbaya mke wangu hazitaki . Yallah , mtume simama wanaume wanaume ila yote maisha ipo siku yangu .aisee ....
Wanaume wapo ila wangu yupo mahali tu sijui kwanini najitoaga ufahamu situliagi hadi aje sijui kwanini
Haina shida.Milion
Huwa haturidhiki na mbususu mojaWapo lakini sio wote lakini nature wanaume hamuaminiki haijalishi awe nacho au Hana
Niache bhna sitakHaina shida.
Ila ngoja tufanye biashara maana huku utelezi na huku vipande vya fedha vinatoka.
Tukikutana tunaitana Shemeji
Poleni sanaHuwa haturidhiki na mbususu moja
Tushapoa. Vipi nyinyi huwa mnaridhika na de libolo moja?On
Poleni sana
TunaridhikaTushapoa. Vipi nyinyi huwa mnaridhika na de liboll moja?
Wanawake wanaandikajeMbona una mwandiko wa kiume?
Hizo takwimu zako sio sahihi sio wote kama hawa wake za watu wanatoa sana utelezi siku hizi tena bure kabisa huoni wanataka ladha tofauti tofauti za de liboloTunaridhika
Wanaandika kama hawatakiWanawake wanaandikaje