Wanaume wabaya ndio wanakuwa wazuri kitandani

Wanaume wabaya ndio wanakuwa wazuri kitandani

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,262
Nimeinyaka hiyo leo kutoka kwa mishangingi iliyokua inafanya kikao chao cha kitchen part hapa kwenye kibaraza changu.

Wanadai wanaume wabaya wahajui kulinga chumvin wanazama bila ubishi na wanajituma sana.
 
Sifa tano za mwanaume mwenaume ambae anajiweza kitandani

1. Amekulia maisha ya mchaka mchaka mda wote mara shuleni mara shambani usafiri wake mda mwingi ni wa miguu . Hakuwa na mda wa kukaa kwenyi TV au kucheza game.

2.tangu utotoni hajui vyakula vya madukani (super market)wala kyepe yai zake majimbi ndizi, nguna dona, yaani vyakula vya asili tu kama vilivyopo huku mbozi

3.amefanya tohara baada ya kujitambua mwenyewe sio tangu utotoni ambapo kukatwa hupunguza speedi ya ukuaji wa mtarimbo

4.hajakulia dare es salaam

5.hana mwili nyama nyama ana mwili wa kazi kazi

PS: MTU ANAEBISHIA HIZO FACT ATAFUTIWE TIBA HARAKA SAN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom