Wanaume waanza kujiuza

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Uchunguzi wa muda mrefu wa suala hili ulibaini kuwa katika klabu,
kasino na sehemu nyingi za starehe jijini Dar es Salaam,
kuna idadi kubwa ya wanaume wanaojiuza kwa mijimama ya mjini yenye ‘MIHELA’ yao.

ISSUE IPO HIVI:
Uchunguzi ulibaini kuwa vijana wanaojihusisha na biashara hiyo ni wale walio
fiti kwa mazoezi ya ‘gym’ au wababeba vitu vizito wanaosifika kwa kutunisha vifua a.k.a mabaunsa.

USISHANGAE KWAMBA:
Kuna madai kuwa, baadhi ya wanawake wanaowachukua vijana hao ni wake wa vigogo (wanasiasa)
na watumishi wa serikalini ambao ndoa zao hazijatulia.

Kama wadada wakijiuza wanaitwa makahaba,......wanaume wanao jiuza kwa style hii tuwaiteje?
 
hao wake za vigogo wanakutana nao wapi? sina hakika kama wake za vigogo wanakwenda casino au club. labda hao ni wanawake wafanyibiashara wenye pesa, maana wanawake wenye pesa ni wengi, sio lazima wawe wake za vigogo.
 
Khaaa! Sipati picha pale baunsa atakavyoanza kuwa mistreated. Mwili huo halafu anatukanwa hadharani kisa shida na kupenda vya dezo. THIS COUNTRY BWANA!!!
 
Uchunguzi wa muda mrefu wa suala hili ulibaini kuwa katika klabu,
kasino na sehemu nyingi za starehe jijini Dar es Salaam,
kuna idadi kubwa ya wanaume wanaojiuza kwa mijimama ya mjini yenye ‘MIHELA’ yao.

ISSUE IPO HIVI:
Uchunguzi ulibaini kuwa vijana wanaojihusisha na biashara hiyo ni wale walio
fiti kwa mazoezi ya ‘gym’ au wababeba vitu vizito wanaosifika kwa kutunisha vifua a.k.a mabaunsa.

USISHANGAE KWAMBA:
Kuna madai kuwa, baadhi ya wanawake wanaowachukua vijana hao ni wake wa vigogo (wanasiasa)
na watumishi wa serikalini ambao ndoa zao hazijatulia.

Kama wadada wakijiuza wanaitwa makahaba,......wanaume wanao jiuza kwa style hii tuwaiteje?

Wataitwa makahabu
 
Wataitwa "GIGOLO" Makahaba wa kiume
 
Umechelewa jamvini, karamu imeshaliwa!

Vitu vya zamani sana hivi na havikuanzia huko unaposema, vipo mitaani siku nyingi sana, hujawahi kusikia kuhusu ma "shuga mami"?
 
Sio club tu, hata maofisini vijana wadogo wanajilengesha kwa wamama na wake za watu. Msisingizie mabaunsa wa watu.
 
Kuweni mtayajuwa wengi ya watanzania wanawekwa na wanawake, chunguza hata nyumbani kwenu utakuta mama'ko ndio aliomuweka baba'ko.

Ni utamaduni wa Kiafrika, nenda vijijini, wanawake ndio hufanya kazi zote na wanaume kazi yao kubwa ni kukaa vilabuni na kunywa pombe tu.
 
Uchunguzi wa muda mrefu wa suala hili ulibaini kuwa katika klabu,
kasino na sehemu nyingi za starehe jijini Dar es Salaam,
kuna idadi kubwa ya wanaume wanaojiuza kwa mijimama ya mjini yenye ‘MIHELA’ yao.

ISSUE IPO HIVI:
Uchunguzi ulibaini kuwa vijana wanaojihusisha na biashara hiyo ni wale walio
fiti kwa mazoezi ya ‘gym’ au wababeba vitu vizito wanaosifika kwa kutunisha vifua a.k.a mabaunsa.

USISHANGAE KWAMBA:
Kuna madai kuwa, baadhi ya wanawake wanaowachukua vijana hao ni wake wa vigogo (wanasiasa)
na watumishi wa serikalini ambao ndoa zao hazijatulia.

Kama wadada wakijiuza wanaitwa makahaba,......wanaume wanao jiuza kwa style hii tuwaiteje?

wataitwa makahada..
 
Sio club tu, hata mitaani.
Vivulana vimekuwa na tabia mbaya ya kujichekesha chekesha kwa akina mama, tena nawapa pole wenye hata vistalet maana wanapendwa kweli.
 
Hawa waitwa makababu (Maana yanaliwa tuu). Kwa sasa Tanzania wanaume wengi wanapenda mteremko! We unacheza

pool table asubuhi mpaka jioni unategemea nini? Ndo kujiuza kunaanzia hapo
 
Mie nashindwa kukuunga mkono kusema wanapenda mteremko!
Kwa nini usichukulie hiyo ni AJIRA (sekta binafsi ?)
huoni anapokua kibaruani kulisatisfai jimama huyu mtu anatumia energy ?
 
Mungu anashida kweli yani hata hili ni lake jamani. manake nashindwa kudadavua, kuna wanaopenda majimama na kuna wanaopenda wababa wenzao sasa kazi kweli. lakin wenzetu kaka zetu mbona sisi wa umri wenu tupo?na tunawapenda?
 
Back
Top Bottom