Wanaume wa Ukweli Hubeba Ujauzito!

Hayo utayasikia kwa mwanaume anayejitambua,kujiheshimu,kumheshimu na kumthamini mkewe.
Kina bin mimi ukimwambia tu ume conceive anaanza kufikiria kabint gani katafaa kum keep company wakati wewe unaburuza tumbo na kumiminika maziwa!!!
 
Kwaio mwanaume nae anabeba au anasema tu kama amebeba? Ukweli unabaki palepale mwanamke ndio aliebeba....
 
hamna raha kama mtoto aisee....mwakani may il be a dad....wife to be alivyogundua ana mimba alipata wasiwasi ntamtosa but on the contrary ilikuwa siku bomba sana kwangu na nilivyotoka tu safarini nikampeleka mwenyewe ultrasound...aisee seeign the heartbeat on the monitor and knowing you are partly responsible for that....no greater feeling
 
"I AM PREGNANT" she TOLD
her MAN... he SMILED and
KISSED her LIPS and
said"CORRECTION
MY LOVE we ARE pregnant. FOR that
CHILD in YOUR womb is HALF of ME
and HALF of YOU; and I
will NOT let YOU go THROUGH
the PREGNANCY alone... I may
NOT carry OUR child BUT i WILL
carry YOU and OUR child IN my
HEART and CARE. I WILL be THE best
FATHER to OUR child...
WE are PREGNANT!" Now
that's a REAL MAN.!
TRUE or FALSE?

LIKUD kweli huyu ni mume wa Kikurya aliyebobea kwenye mila na tamaduni zao.
mwaJ akiyasikia maneno haya yakitoka kinywani mwa Mwita Maranya lazima mimba i evaporate.
Ni safari ndefu sana kutoka kwenye mapenzi ya kukatana mapanga hadi kufikia mapenzi ya kubeba mimba pamoja
 
Last edited by a moderator:
Hakuna raha kama kusaidiwa kipindi cha ujauzito jamaa ajisikie kichefuchefu,apende maembe lol!...akusindikize clinic hata mtoto akizaliwa kunakua na raha...
 
Hebu tubu na umgeukie Mungu wako huwezi kubadili uumbaji wa Mungu adhabu tulizopewa baada ya dhambi ya asili "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho FULL STOP
 
Hayo utayasikia kwa mwanaume anayejitambua,kujiheshimu,kumheshimu na kumthamini mkewe.
Kina bin mimi ukimwambia tu ume conceive anaanza kufikiria kabint gani katafaa kum keep company wakati wewe unaburuza tumbo na kumiminika maziwa!!!

umeona enhe.....umesema kweli shoga angu mwanaume anaejiheshim na kujielewa

sometimes its not about money but mapenzi kama hayo...
 
Sasa litoke toto lisiwe la kwako ndio utajua wew upo na im pregnant, kumbe umebeba ujauzito wa mwanamume mwenzako ahahahahha..
 
Back
Top Bottom