mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
LIKUD kweli huyu ni mume wa Kikurya aliyebobea kwenye mila na tamaduni zao.
mwaJ akiyasikia maneno haya yakitoka kinywani mwa Mwita Maranya lazima mimba i evaporate.
Ni safari ndefu sana kutoka kwenye mapenzi ya kukatana mapanga hadi kufikia mapenzi ya kubeba mimba pamoja
Ha ha haaaa! We Bujibuji hivi mume wangu yuko wapi? maana tangu umfundishe tabia ya ulevi na uzururaji basi haonekani nyumbani.
Last edited by a moderator: