Wanaume wa Tanzania ni legelege

Wanaume wa Tanzania ni legelege

Smile kama nitakukwaza utanisamehe dear.... Umekuja mkali mno. Maneno yako yana ukweli Lakini kua more blunt in other post apart from the original post ni rubbing it in - in a wrong way.

Ni kweli as men wanatakwa wafanye kama ulivosema hapo juu..... Ila kumbuka kua tupo ulimwengu mpya kulinganisha na zamani. Wanawake na sisi tuna nafasi ambazo inabidi tucheze tena responsively kwa maendeleo ya Taifa. Na kumbuka pia kua wale ambao wamekua previledged kutuwakilisha sio woote wanacheza nafasi zao ipasavo. Take note unapowapa wanaume absolute blame katika tatizo ndivo unavo zidi kutu paint wanawake kama wajinga zaidi kwa kukubali kufanyiwa ***** huo...
Shem, hayo manyota hapo ulikuwa umeandika nini? Naona yako matano!
 
Wanaume Legelege uzaliwa na wanawake Legelege. Wanawake Legelege urubuniwa na wanaume legelege, Wanawake Legelege uchagua Viongozi Legelege kisa tu wamevutiwa na Sura za Wanaume Legelege.
 
Nakubaliana nawe, ila sii wote. Wewe sema wanaume wote wa MAGAMBA ni legelege full stop. I trust that I am so hard since I am not one of them Smile. Hata akina mama wa wanaume legelege ni legelege tuuu otherwise msingekubali kurubuniwa na vikanga vyea elfu na jero na pilau kuwapa hao malegele kura zinazopelekea kutumaliza hivi hivi.
Ina maana hawa vijana wa Poulsen ni magamba?
 
Siku moja moja sio mbaya kuangalia issues differently....but you need us more than you thought

nafikiri anayemuhitaji mwenzake sana ni mwanaume hivyo you need us more than you have ever thought. wanawake wanaweza kuishi wenyewe bila shida wakamudu maisha yao na kazi zote wakafanya, lakini wanaume kuishi peke yao ni ngumu ama watakufa haraka au wataishi kwa shida.
kwanza siku hizi wanawake wengi wanajua kuitafuta pesa, elimu na vingine vyote. wapo ambao hata waume zao huwategemea. hivyo wanawake tumejitambua tunajithamini na sio tegemezi tena wapo wachache ambao bado wanahitaji msaada.
 
smile kama nitakukwaza utanisamehe dear.... Umekuja mkali mno. Maneno yako yana ukweli lakini kua more blunt in other post apart from the original post ni rubbing it in - in a wrong way.

Ni kweli as men wanatakwa wafanye kama ulivosema hapo juu..... Ila kumbuka kua tupo ulimwengu mpya kulinganisha na zamani. Wanawake na sisi tuna nafasi ambazo inabidi tucheze tena responsively kwa maendeleo ya taifa. Na kumbuka pia kua wale ambao wamekua previledged kutuwakilisha sio woote wanacheza nafasi zao ipasavo. Take note unapowapa wanaume absolute blame katika tatizo ndivo unavo zidi kutu paint wanawake kama wajinga zaidi kwa kukubali kufanyiwa ***** huo...
mimi nawalaumu wao kwa sababu ndo wamejifanyaviherehere kutaka kufanya kila jambowhile hawawezi
eg hivi ulishawai kuona siku stars wana mechi jinsiwanasaidiwa kiuchumi na kupigiwa debe?wangiingiwa uwanjani mpira ukiwekwa kati wanakimbia kimbia kama vifarangavilivoona mwewe. Utadhani ndo siku yaoya kwanza kuona mpira
ije twiga strars ile timu ya wadada kimyaaa? Matokeo yakitoka ndo wanafunguamdomo.watuachie rasilimali zetu tujenge nchi sisi
 
Smile kama nitakukwaza utanisamehe dear.... Umekuja mkali mno. Maneno yako yana ukweli Lakini kua more blunt in other post apart from the original post ni rubbing it in - in a wrong way.

Ni kweli as men wanatakwa wafanye kama ulivosema hapo juu..... Ila kumbuka kua tupo ulimwengu mpya kulinganisha na zamani. Wanawake na sisi tuna nafasi ambazo inabidi tucheze tena responsively kwa maendeleo ya Taifa. Na kumbuka pia kua wale ambao wamekua previledged kutuwakilisha sio woote wanacheza nafasi zao ipasavo. Take note unapowapa wanaume absolute blame katika tatizo ndivo unavo zidi kutu paint wanawake kama wajinga zaidi kwa kukubali kufanyiwa ***** huo...

Dada nimeupenda sana mchango wako, ile mimi NI mgeni hapa JF hizo ***** ndio zinasomekaje? maana nasikia wewe ndio Queen of MMU na Ndio Best Woman of JF.
 
Smile, smile, smile
leo umeamkaje,
bahati yako wewe ni mzuri
wangekusema.
 
Wanawake mmepewa Usipika mmeharibu.
Hamwaminiki kabisa
 
Smile, Smile,

Leo umetoka na uzi mzuri sana ila sijui kimekupata kitu gani wakati unaanza kuandika...

Kwanza naungana na wengine kuwatakia siku kuu njema ya siku ya Wanawake dunian!!

Back to Topic:

Uliyosema ni kweli na wengi wanaoyafanya ni wanaume....

Ila umesahau kwamba mshauri mkubwa ya mwanamume ni mke wake??

Kama umri unakuruhusu basi utakuwa unakumbuka kasheshe ya Mzee Ruksa na Mchonga kuhusu kutegemea sana ushauri wa mke wake!!

Hata mie, mshauri wangu mkubwa ni Bibi DC....Sasa kama nikishindwa, mshauri wangu hana share kwenye failures zangu??

Babu DC!!
 
smile, smile,

leo umetoka na uzi mzuri sana ila sijui kimekupata kitu gani wakati unaanza kuandika...

Kwanza naungana na wengine kuwatakia siku kuu njema ya siku ya wanawake dunian!!

back to topic:

uliyosema ni kweli na wengi wanaoyafanya ni wanaume....

Ila umesahau kwamba mshauri mkubwa ya mwanamume ni mke wake??

Kama umri unakuruhusu basi utakuwa unakumbuka kasheshe ya mzee ruksa na mchonga kuhusu kutegemea sana ushauri wa mke wake!!

Hata mie, mshauri wangu mkubwa ni bibi dc....sasa kama nikishindwa, mshauri wangu hana share kwenye failures zangu??

Babu dc!!
kwa iyo mataka kusema mnaishi kwa mawazo yetu? Basi kaeni pembeni ili tuweke hayo mawazo yetu kwenye implematatuion muome mambo.sijui mnawaza nini. Yaani wagonjwa wanakufa kisa mgomo wa madaktari,na wanaume wapo tu wanatoa mimacho wanalia . Huwa najiuliza nyie ni nyie kweli?
 
Tatizo hamuwezi fanya lolote bila ya mwanaume nyie ni washauri tu wa kusema mme wangu leo nataka kuku mtamu
 
Smile naomba unisaidie zoezi dogo tu kabla hatujaenda mbali,

Jaribu ku-imagine halafu unipe jibu.

Je unaweza kuchukua maji kwenye kopo kwa mkono wako wa kulia, na sabuni kwa mkono huo huo wa kulia, halafu ukaosha kikwapa chako cha mkono huo huo kikatakata?

Kama unaweza basi nambie!!....

Babu DC!!
 
smile naomba unisaidie zoezi dogo tu kabla hatujaenda mbali,

jaribu ku-imagine halafu unipe jibu.

Je unaweza kuchukua maji kwenye kopo kwa mkono wako wa kulia, na sabuni kwa mkono huo huo wa kulia, halafu ukaosha kikwapa chako cha mkono huo huo kikatakata?

Kama unaweza basi nambie!!....

Babu dc!!
possible kabisa.sitowasamehe kabisa from now nadate wazungu na wachina tu
 
tatizo hamuwezi fanya lolote bila ya mwanaume nyie ni washauri tu wa kusema mme wangu leo nataka kuku mtamu
huyo kuku mtamu mnae.?hebu nenda ocean road uliza toka jana uje uniambie kama kunamwanaume nchi hii
 
Tatizo hamuwezi fanya lolote bila ya mwanaume nyie ni washauri tu wa kusema mme wangu leo nataka kuku mtamu

Naona Mkuu umeamua kubanana na Smile...

Mie naamini wanaweza kufanya lolote na pia mengi tu ila hawawezi kunya yote (i.e kila kitu)!!😱hwell::eyebrows:

Nimekosea mkuu??

Babu DC
 
Back
Top Bottom