Wanaume wa nchi hii mnanisikitisha sana. Komboeni nchi yetu

Mwazani

Member
May 27, 2010
75
11
Ni aibu nchi inaporomoka lakini wanaume wa nchi hii mpo tu mnalalamika kila kukicha bila kuchukua hatua.

Ni aibu viongozi wa nchi hii wanachuma mali na kujilimbikizia huku idadi kubwa ya watu ni masikini wa kutupwa lakini wanaume wa nchi hii mpo mpo tu.

Wananchi wengi wa Nchi hii tuna hali ngumu.

Rushwa imetawala katika nchi hii.

Maji ya uhakika hatupati, Umeme ndio kitendawili, huduma za afya ni mpaka utoe rushwa vinginevyo utakufa hivi unajiona lakini wanaume mwakaa kimya tu hamchukui hatua yeyote.

Mmekosa hata plan B?

Wanaume wa nchi hii Mungu amewaumba Wanaume kwa sababu maalumu.
Tuongozeni na mtukomboe katika huu Utumwa.

Shame on all Tanzanian Men.

Laiti ningeumbwa mwanaume, ningefanya kitu fulani, nisingembweteka kama mijanaume ya nchi hii.

SHAME ON YOU.
 
Wanawake mtuongezee mashamsham kwanza ilitupate mshawasha wa kuwatetea na kuact.
 
aisee kwaiyo mungu alikosea kukuumba mwanamke? Kama wewe ni boya ni boya tu hata kama ungekuwa mwanaume
UKOMBOZI WAKO UPO MIKONONI MWAKO MWENYEWE AMINI UPO ULIVO KWA SABABU YAKO WEWE MWENYEWE
 
Ni aibu nchi inaporomoka lakini wanaume wa nchi hii mpo tu mnalalamika kila kukicha bila kuchukua hatua.

Ni aibu viongozi wa nchi hii wanachuma mali na kujilimbikizia huku idadi kubwa ya watu ni masikini wa kutupwa lakini wanaume wa nchi hii mpo mpo tu.

Wananchi wengi wa Nchi hii tuna hali ngumu.

Rushwa imetawala katika nchi hii.

Maji ya uhakika hatupati, Umeme ndio kitendawili, huduma za afya ni mpaka utoe rushwa vinginevyo utakufa hivi unajiona lakini wanaume mwakaa kimya tu hamchukui hatua yeyote.

Mmekosa hata plan B?

Wanaume wa nchi hii Mungu amewaumba Wanaume kwa sababu maalumu.
Tuongozeni na mtukomboe katika huu Utumwa.

Shame on all Tanzanian Men.

Laiti ningeumbwa mwanaume, ningefanya kitu fulani, nisingembweteka kama mijanaume ya nchi hii.

SHAME ON YOU.
Mwazani, ncha yaa risasi za CCM/Polisi haichagui jinsia
 
Yemen na Syria wanawake ndio wanaongoza harakati za kupinga udhalimu wa Saleh na Assad. Wanawake wa bongo vipi?
 
wanaume kazi kwenu sasa,
wamama tumechachamaa,
tumekuja juu,
tuambieni tuwasilikie.
 
Tutawakomboaje wakati kwenye kampeni mnahongwa kanga , kofia, mpaka chumvi. Mnauza shahada za kupigia kura, mmemchagua Kikwete kwa uzuri wa sura yake sasa mnalalamika nini?
 
Mtaji mkubwa wa kura za ccm ni wanawake,Je si nyie mnao lazwa chini Hospitali na mnahangaika sana kujenga familia zenu kama kutafuta maji, kuni,chakula hapa nazungumzia wale wa vijijni hasa sasa sisi wanaume tuanzie wapi wakati kura ni siri ya mpigaji na karatasi yake.Tunakuomba uwahamasishe wanawake wenzio kwanza kwani ukombozi wa nchi hii unaanzia kwa akina mama mkiamua. Hongera kwa kutoa changamoto mama.
 
Ni aibu nchi inaporomoka lakini wanaume wa nchi hii mpo tu mnalalamika kila kukicha bila kuchukua hatua.Ni aibu viongozi wa nchi hii wanachuma mali na kujilimbikizia huku idadi kubwa ya watu ni masikini wa kutupwa lakini wanaume wa nchi hii mpo mpo tu.Wananchi wengi wa Nchi hii tuna hali ngumu.Rushwa imetawala katika nchi hii.Maji ya uhakika hatupati, Umeme ndio kitendawili, huduma za afya ni mpaka utoe rushwa vinginevyo utakufa hivi unajiona lakini wanaume mwakaa kimya tu hamchukui hatua yeyote.Mmekosa hata plan B?Wanaume wa nchi hii Mungu amewaumba Wanaume kwa sababu maalumu.Tuongozeni na mtukomboe katika huu Utumwa.Shame on all Tanzanian Men.Laiti ningeumbwa mwanaume, ningefanya kitu fulani, nisingembweteka kama mijanaume ya nchi hii.SHAME ON YOU.
ukiwaona barabarani utahisi watu........................!!!!!!!!!!
 
Ni aibu nchi inaporomoka lakini wanaume wa nchi hii mpo tu mnalalamika kila kukicha bila kuchukua hatua.

Ni aibu viongozi wa nchi hii wanachuma mali na kujilimbikizia huku idadi kubwa ya watu ni masikini wa kutupwa lakini wanaume wa nchi hii mpo mpo tu.

Wananchi wengi wa Nchi hii tuna hali ngumu.

Rushwa imetawala katika nchi hii.

Maji ya uhakika hatupati, Umeme ndio kitendawili, huduma za afya ni mpaka utoe rushwa vinginevyo utakufa hivi unajiona lakini wanaume mwakaa kimya tu hamchukui hatua yeyote.

Mmekosa hata plan B?

Wanaume wa nchi hii Mungu amewaumba Wanaume kwa sababu maalumu.
Tuongozeni na mtukomboe katika huu Utumwa.

Shame on all Tanzanian Men.

Laiti ningeumbwa mwanaume, ningefanya kitu fulani, nisingembweteka kama mijanaume ya nchi hii.

SHAME ON YOU.

Mke wangu angekuwa na mawazo kama yako, ningeshaingia mtaani.
 
Haya wanaume token shimon naona wanawake wametushikia risasi kisogoni kama huendi hupati uchi. Kazi ipo. Wakitoa ofa kama hizi mbona wanaume watakwenda tu hata hawabishi wapoleeeeeeeee
 
Wanawake wa nchi hii wanauza utu wao,wananunuliwa kwa kanga na pilau na kama haitoshi wanauza penzi kwa wanaowahujumu waume zao (Mwigulu type) lakini bado wanawalaumu waume wa nchi hii eti....labda wanaume wa ccm ndo mizigo kwenye nchi hii maana ndo wanaenda anticlockwisely
 
Rudishen Kwanza Khanga, T-Shirt na kofia zao na msizipokee tena.. Sisi tutawakomboa
 
Back
Top Bottom