Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Pale malaya anapo taka kukupangia cha kufanya na jinsi gani uishi basi hasira zote huishia kuwa hater. Wanaume kama tulivyo kubaliana hatutaki shobo na malaya
 
Mshikaji mbona yuko sawa tu?si tupo mjini tunayaona..kuna msela yeye hana hata baiskeli lakini hua kaning'iniza funguo za gari kwenye luksi ya suluari yake na anashinda na madalali wa magari,ukimuona anatembea utajua kashuka airport kutokea Mississipi America.
Hapo tatizo lipo wapi ndugu? Inawezekana na yeye hapendi watu kama sisi tunaojiweka kawaida, tunavaa kawaida.

Moja ya tatizo kubwa letu binadamu ni kutaka binadamu mwingine afanye kile tunachoona ni sahihi au tufanane. Sisi sio siafu au nyuki tufanane.

Acha watu wafurahie zawadi ya maisha kwa nanma wanayona inafaa bila kuingilia uhuru wa mwingine au kuvunja sheria.
 
Panicking is your worst enemy!.Wagalatia 5:22-23.Pata Maarifa kidogo shehe!
Let it be. Lakini lugha uliyotumua ya kuwahusisha wazazi wangu waliofariki zaidi ya miaka 30 iliyopita sikuipenda.Simply ungeniambia ninunulie watoto wangu that was alright .Usipende kuhusisha watu wasihusika kwenye mambo yasiyowahusu hii inaonyesha kuwa hukuwa na huna malezi mazuri.Tafadhali soma:WAEFESO 6:1--3 waliotajwa hapo ni pamoja na wote walikuzidi umri.Mwisho mimi siyo shehe
 
May i remind you where we can from"Kuna kama ka ukwelu vile,wakati mwingine ka IST kenyewe ka wazazi".Then "Mimi nina kijana wangu yupo kwenye 26 huwa anachukua ki Vista cha wife (mama yake) kwenda nacho bar nina uzoefu ndo maana nimeandika hivyo wacha uvuvuzela wako".Its kind of awkward you have audasity of kujimwamwafai ilihali umeonyesha jinsi gani ulivyo.Naamini watu makini hawafanyi vitu makini huwa wanafanya vitu sahihi kutrash wengine kwako is ok!.Nashangaa umeishia mstari wa tatu waefeso hiyo hiyo mstari wa nne inasema hivi."Akina baba msiwachokoze watoto wenu............!
 
Mkuu usilazimishe watu wawe mawazo kama yako; your way is not the only way. Huyu mkuu kaelezea yeye anavyokereka na tabia ya kijana wake, wewe unaanza kumfundisha malezi.

Umemkosea halafu bado unavimba, kwa mtu mstaarabu angeomba msamaha kwa kumkwaza na kufuta comment.

Tujifunze kujali watu wengine, unaponitreat vizuri mimi unachangia kesho yangu kuwa nzuri zaidi.

Ni hayo tu mkuu.

Don't be sympathetic you have been taken by the moment nimemkosea wapi?.Hujui umri wangu shehe!.Nimeamua kuenda jinsi alivonihisi since we are anonymous haya nieleze nivokosea nimwombe msamaha ili nisije nikamkosea mtu mwingine!.Utashi wako pia uko matatani unadhani ni busara kuja kumnanga na kumdhalilisha kijana wako mtandaoni.Come on!
 
Mbona ishu ni simple tu,na wewe si uvae tshirt na pensi,utiwe mimba uwe na kitambi,unywe balimi na ukumbatie wanaume bar nadhani utakuwa umeenda nao sawal
 
Ndo ukome kushobokea Wanaume wanaoninginiza funguo kwenye ruksi za suruali
 
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Karibu mpenzi, nili kumiss!!
Mimi bia nimeacha siku hizi.
 
Mimi nachosisitizia ni kwamba " your way is not the only way." Wewe unavyotoa malezi yako kwa wanao sio kila mtu anatakiwa atoe malezi hivyo hivyo.
Mada iliyokuwepo mezani ni kuwa kuna vijana huwa wananing'iniza funguo, wanavaa kaptula fupi, wanaendesha IST, na wakienda kwenye mabar wanahisi maisha wameyapatia.
Huyu member mwenzetu kaeleza anayokerwa na tabia ya mtoto wake. Wewe ukasema that is very stupid of him kuja kumsema mtoto wake humu jukwaani. Mimi nakubaliana naye kwamba kulikuwa hakuna haja ya kutumia maneno makali kuonesha kwamba hukubaliani naye.
Swala la kwamba alichokifanya ni sahihi au si sahihi, mimi halinihusu. Tupo tofauti, hatuwezi wote kufikiria katika namna moja.
Don't be sympathetic you have been taken by the moment nimemkosea wapi?.Hujui umri wangu shehe!.Nimeamua kuenda jinsi alivonihisi since we are anonymous haya nieleze nivokosea nimwombe msamaha ili nisije nikamkosea mtu mwingine!.Utashi wako pia uko matatani unadhani ni busara kuja kumnanga na kumdhalilisha kijana wako mtandaoni.Come on!
 
May i remind you where we can from"Kuna kama ka ukwelu vile,wakati mwingine ka IST kenyewe ka wazazi".Then "Mimi nina kijana wangu yupo kwenye 26 huwa anachukua ki Vista cha wife (mama yake) kwenda nacho bar nina uzoefu ndo maana nimeandika hivyo wacha uvuvuzela wako".Its kind of awkward you have audasity of kujimwamwafai ilihali umeonyesha jinsi gani ulivyo.Naamini watu makini hawafanyi vitu makini huwa wanafanya vitu sahihi kutrash wengine kwako is ok!.Nashangaa umeishia mstari wa tatu waefeso hiyo hiyo mstari wa nne inasema hivi."Akina baba msiwachokoze watoto wenu............!
Uliijibu comment yangu ya kwanza kama ifutavyo "Wivu hakuna cha ukweli wowote kawambie wazazi wako wakanunue" kuna mahali popote kwenye comment yangu nilipo ku provoke hadi uniambie nikawaambie wazazi wangu ambao ni marehemu wakanunue? Comment ya pili niliandika baada ya wewe kuwahusisha marehemu wazazi wangu ambao hawahusiki kwa lolote,halafu naona bado una justify kuwahusisha .Halafu sijui kwa nini unayashupalia sana mawazo yangu niliyotoa kwenye hii post mpaka inafika hatua ya kunitolea maneno ya kashfa
 
Pole sana wee ulijua ndo atakuoa?
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
 
Uliijibu comment yangu ya kwanza kama ifutavyo "Wivu hakuna cha ukweli wowote kawambie wazazi wako wakanunue" kuna mahali popote kwenye comment yangu nilipo ku provoke hadi uniambie nikawaambie wazazi wangu ambao ni marehemu wakanunue? Comment ya pili niliandika baada ya wewe kuwahusisha marehemu wazazi wangu ambao hawahusiki kwa lolote,halafu naona bado una justify kuwahusisha .Halafu sijui kwa nini unayashupalia sana mawazo yangu niliyotoa kwenye hii post mpaka inafika hatua ya kunitolea maneno ya kashfa
Ki ukweli. I'm not going to apologize! .I did nothing wrong!.Sijawatukana wala kuwakashifu wazazi wako ni maoni yangu tu .Nashangaa why you felt offended ni vigumu mimi kujua kama wazazi wako wamefariki au la!You are anonymous for Gods sake! "Kuna kama ka ukwelu vile,wakati mwingine ka IST kenyewe ka wazazi!.Majibu yangu yalitokana na dharau za ujivuni ulizoonyesha hapa!.Gabbage in Gabbage out!.Hata hivyo umewadhalilisha wazazi wangu kwa kuwagaragaza kwamba malezi yao si mazuri ilihali mmoja ni marehemu but it was a never big deal kwa sababu ni maoni yako hayareflect uhalisia zingatia hunijui na wala hujui nina umri gani wala hujui tabia zangu. Sir have a nice day and all the best!
 
Back
Top Bottom