Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Povu ilo kama umempenda si umwambie wewe izo IST zenu ziko wap...[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Hao wanawake wako wapi?
kwa akili zenu mnaenda kwenye upepo mkisubiri wanaume Hovyo!!!
 
Utakuwa unamsema zahera wewe si ndio anavaa pensi
 
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Baba yako pia atakuwa takataka pia..
 
Wivu huo tafuta na wewe uning'inize hata funguo wa bajaji.
 
Wengine hata hiyo funguo ya IST hawana lakini wanavimba ile mbaya mtaani , utadhani afisa fulani
 
Umeamua sasa kumdhalilisha huku mitandaoni how stupid!.What kind of a father are you!
Wee kigovi uwe na adabu don't call stupid kama huwezi kutumia lugha ya kiungwana soma na upite there is no necessity of commenting.
 
Back
Top Bottom