hii inaitwa kata-funuaWakati uko chuo ulikua unatembea na kila mwanaume, sa ivi unataka mwanaume wa peke yako.
hapendi tuvae pensi na form six labda anataka kutangaza biashara ya nguo hapa tutulie tu ataleta matangazo ya kuuza nguo kwenye hii sirediWanawake mkisha zalishwa mkaachwa basi hasira zote mnamalizia kwetu wanaume wote,ndo mana mna kashifiwa coz mna mambo ya kipuuzi,wew mambo yetu yana kuhusu nin😞😞
Acha kujimwambafai banaPunguza povu basi.
Kwani mtu akiwa na IST, akivaa pensi, kunywa bia na kukumbatia ni kosa?
duu ila ngoja nikusifie una miguu mizurii bibieeWanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.
Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.
Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.
Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Nasoma povu linavyowatoka wenye VIAIESTI wamebanwa mbavu kweli kweli. Komeni kujikuta mmefika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha wewe acha zako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasema hiviii, acha kujimwambafai
Ukiona manyoya
[emoji6][emoji6][emoji6]Wewe mwanamke Leo umeamka na Mimi?
Unajitutumua tu muone..
[emoji6][emoji6][emoji6]
#UNIKOME#
Acha kujimwambafai huku jeiefuu hebuuNikukome kwa lipi?
Ungekuwa karibu wewe ndiye ungenikoma maana ungehadithia..!
Na yaani daah!