Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
Una washwawashwa wewe,sio bure.
 
Hizi salamu nimezipenda bure zimebeba ujumbe muhimu kwa wenye akili
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
 
Wasipoelewa hapa basi hawataelewa tena!!

Hii kauli anaitumia Rasi Simba peke yake. Ni marufuku mwingine kuitumia.

Wanaume hatuelewi kirahisi rahisi acha tu aendelee kutoa darasa.
 
Wanaovaa pensi na form six t shirts wameelewa na wamesoma uzi wako na kupita kimya

Hawa wanaobisha hawavai pensi,hawamiliki IST wala hawana simu mbili
Hivi Joanah, ukweli huwa unakusaidia nini[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom