Wanaume wa Marekani mna nini?

Wanaume wa Marekani mna nini?

Hahahaa....what is my savagery? All I did was post a video.

Here is another one of George W. Bush when he was in Arusha.

Hahahahha next Donald in Mtwara.. We will line as well..

Ila Mkuu hivi POTUS akitoka DC kwenda Arizona huwa hawakimbizani kumshangaa?? Hehehe
 
Naelewa...
Its hard to believe. Ivi madem wakibongo unawaelewa lakini ??

Ivi unafkiri mfano msomi mwenye mpaka MSc mwenye kibarua bank ana push ki IST sijui Spacio utamlinganisha na msela anayekaa masaki ana push beema au autobiography ya mshua wake ??

Ivi yan kabisa unafkiri watakua wanang'oa madem wa standard sawa ?? Niulize chochote kuhusu Central London nikujibu.

Dude we ngoja wakugongee dem wako utakuja kunielewa.
Sasa huyo central London imekujaje hapa tena?
 
Yani hata mimi sielewi wanawake wakitanzania. nafikiri kwasababu nimekaa huku miaka yangu yote ya secondary mpaka chuo. Lakini hata nilivyorudi mwaka 2014 ilikuwa ukiongea tu wakasikia kiswahili chako kibaya au kingereza cha kimarekani wanaanza kutabasamu. Lakini the one girl niliyekua nampenda kabla ya kuondoka tanzania 2007 nilivyorudi akani claim kama mali yake yani. Hehe lakini alisema pia mwili na uso wangu una mvuto. Hata cousin wangu aliniambia mademu wa huku watakupenda sikumuelewa. Labda wanatafuta viza na wao wanfikiri wote tuna green card wangejua na sisi tunategemea viza ya shule hehe wangeshangaa. Marekani siyo mbinguni huku ni kazi tu sivyo utajikuta homeless
 
Hehehe

Wenzio hawajui hilo....kule ni kazi kazi kazi dadek another hour another dollar. U dnt get paid on ur breaks unless ni holiday tip.

Mi nilikuja kuchoka kabisa nlivyoona ulaya mtu ana MSc au Degree ma chuo anapiga kazi ya u store keeper, wengine wanatunza na wazee. Mbele ur degree at tyms aint shit unless kama ni science subjects ndio utapiga hela cz wako wachache.

Nilishangaa sanaa mtu bank teller au receptionist ana make hela mbuzi kuliko mtu wa cleaning, mbeba taka taka, care jobs (kutunza wazee) au store keeper. Life can be really funny there fam. Tehe
 
USA USA tu kila mtu anatamani kuwa hapa nchi ya ahadi. Nchi ya maziwa na asali. Wabongo wanajidai kudiss ila mioyo yao inajua wapi wanapenda waende.
 
Back
Top Bottom