Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,173
- 26,910
Yani unakopi thread ilivyo ndefu hivyo kwa hicho kijiswali??Na wanawake wa Marekani je?
Hahaha zimekaaje chief ??Ha ha ha comments zako huwa zinanifurahisha sana.
USA baby View attachment 357017View attachment 357018View attachment 357019View attachment 357020View attachment 357021View attachment 357022View attachment 357023View attachment 357024View attachment 357025View attachment 357026
God's greatest gift to the world.
USA baby View attachment 357027View attachment 357028View attachment 357029View attachment 357030View attachment 357031View attachment 357032View attachment 357033View attachment 357034View attachment 357035View attachment 357036
Huwa unasema ukweli sanaHahaha zimekaaje chief ??
Unajua bob mimi kitambo nilikua mtu wa kulia lia kufukuzia madem, nilikua ndezi sanaa nd was like feeling down most tyms wit these women till i met niggas/friends who showed me how this game goes down.Huwa unasema ukweli sana
Umeanza sasaUliwe kwa sababu tu ya kuchat, duh, wewe kiboko! Jamaa yako yuko busy anapiga kazi kwa ajili yako, wewe unawaza kuchat naye, ukiona harespond, unaanza kuwaza dushe la mtu mwingine! Nomaaaaaaaa!
Cheki wala vumbi walivyokimbizana kama nyumbu ili tu walitie jichoni gari la Obama...
Acha kumdanganya mwenzako wewe
Anikose mara ngapiAkikukosa akaoge maji ya bahari usiku wa manane!
Una shida weweAkaoge maji ya bahari, haiwezekani! Masunga Maziku
Maombi gani?Mimi nataka kuja likizo lakini imenibidi nifanye maombi kwanza.
Wengi wamegegedwa sana humu, isipokuwa tun wale waliojiunga karibuni, ndio maana kila leo wanakuja na id mpya, ukiona hivyo ujue katolewa manyoya, kwa hiyo anaona soo! Ila uwe makini, usije kukutana na mtu yuleyule baada ya kubadili id ukidhani ni mwingine, lazima ujue namna ya kuescape siku mnaenda kukutana, kama mbwai na iwe mbwai. Valentina
Ha haaa shenzy nyieteh teh teh mbaya zaidi wadau wa humu wanakata hadi mbawa, inabakia jina tu maana kuruka tena hawezi.
Ha haaa shenzy nyie
JF ukikosa mwanamke nenda katambike kwa mizimu ya kikwenu, mwuulize Sumu. Masunga Maziku, kula hii kitu Valentina ni kama bata mzinga aliyevunjika mbawa zote, ukikwamakwama, nistue mapema.