Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Ok kumbe zinatengenezwa Asia kama za Kariakoo.
Kinachotengenezwa Asia kwa teknolojia na standards za US ni tofauti na zinazotengenezwa Asia kwa standard za Asia. Za kkoo zinatengenezwa Asia kwa standard za Asia.
Ndo maana Toyota zinazokuja Afrikani tofauti na zinazoenda EU & US. Standards zinatofautiana.