Wanaume wa Marekani mna nini?

Wanaume wa Marekani mna nini?

Kinachotengenezwa Asia kwa teknolojia na standards za US ni tofauti na zinazotengenezwa Asia kwa standard za Asia. Za kkoo zinatengenezwa Asia kwa standard za Asia.
Ndo maana Toyota zinazokuja Afrikani tofauti na zinazoenda EU & US. Standards zinatofautiana.
Thats a no brainer....Nimeku-challenge tu kwasababu ulisema ZA KARIAKOO ZIMETENGENEZWA CHINA, ilhali wewe na mimi najua hata za US/UK zimetengenezwa China ILA KWA STANDARD TOFAUTI.
 
Dollar dollar tamu, ila wapo wa miji mingine wanapenda kulelewa na wanawake ni wavivu navyosikiaga kupindukia. Wengine na mchezo bado hawaujui kivileeee
 
Brain washing ipi?

Kwamba kila kitu tokea marekani ni bora, unadhani ni kitu kimetokea tu bahati mbaya, it was planned , when you control the media you control the sheep, hujiulizi wanawezaje kurecruit the best human resource, mtu akiwa the best hapa Tz, yupo likely kuchukuliwa na wamarekani na kwenda kuwafanyia kazi na yeye akawa na amani tele moyoni ilhali anaacha kwao wana uhitaji na taaluma yake. Now the same trend goes from the top to the bottom. Ndio maana unaona kuna watu wanaacha shule bongo wanaenda kufanya kazi za ndani uarabuni alafu anaishiwa kubaguliwa. The world has agreed to make Africa and her people savages, and sadly hivo ndivo jamii kubwa duniani inavoamini. Sasa ndio maana unaona wanaume wa marekani wanashobokewa na masista duu. Ndio brain washing hio mzee
 
Hahaha. Talk about flexing, almost nobody does it better man. Got to give you that.
Naelewa...
Its hard to believe. Ivi madem wakibongo unawaelewa lakini ??

Ivi unafkiri mfano msomi mwenye mpaka MSc mwenye kibarua bank ana push ki IST sijui Spacio utamlinganisha na msela anayekaa masaki ana push beema au autobiography ya mshua wake ??

Ivi yan kabisa unafkiri watakua wanang'oa madem wa standard sawa ?? Niulize chochote kuhusu Central London nikujibu.

Dude we ngoja wakugongee dem wako utakuja kunielewa.
 
It's more than that my dude. I seen brothas who've been around the globe, but they got a pretty lame swag still.

One could pay for school, but class can't be bought. Ladies could tell, but hoez.
 
Zamani wakati nakua nilijionea jinsi watu hasa akina dada na vijana walivyokuwa wanafanya juhudi kuzamia nchi mbalimbali, hasa South Africa, UK na baadhi ya nchi za Scandinavia, zikiongozwa na Sweeden na Norway. Binafsi nina kumbukumbu ya wanawake 2 ambao walitoroshwa na wazungu waliokuja kutalii, mmoja kwenda Norway mwingine Sweeden kutokea. Hao wanawake walikuwa wameolewa na wana watoto. Mmoja hadi hivi karibuni amekuwa akituma vitu hadi magari yanakuja kwa mmewe aliyemtelekeza, sijui walikula dili kuibia mzungu au vipi! Nawafahamu akina dada waliotokomea UK kwa kutoroshwa na wazungu au kutokana na tamaa na wengine kwa dili za kimagumashi, lakini wakaishia kuolewa na wanigeria au wakongo, ndoa pia hazikudumu, sasa ni mwendo wa stress tu.

Sasa kuna rafiki yangu alikuja bongo kutoka USA mwaka jana, mwezi wa 12, alah, jamaa anachati na wanawake kama 20 hivi! Nilimshtuka, kwa sababu wakati tukiwa tunapiga story anakuwa busy sana na simu, anarusharusha maneno kama vile haelewi mada, ndio baadaye kaniambia napata shida hapa kuna wanawake wamenizonga wengine wake za watu! Nikamwambia mmefahamianaje? Akasema kupitia social media. Jamaa alivyonionyesha msgs wakichati nikasema, God come back soon! Wanawake wanajilengesha kila mmoja anamtaka jamaa. Nikamwambia jamaa yangu utaingia mkenge, kuwa makini, utang'ang'aniwa na limwanamke halina nyuma wala mbele, wengine kama ulivyosema ni wake za watu. Kwa hiyo jamaa akawa anawapiga sana chenga, kama vile niko busy au nina siku chache tu nataka kurudi halafu mambo mengi. Yaani wanawake walikuwa wanajiliza, mfano "Nyani Ngabu yaani unaondoka hivihivi bila kuonana na mimi, haya bwana, sawa".

Hii hali haikusihia hapo, juzi nipo na jamaa yangu mwingine ni wa USA, namsindikiza kwenda Uhamiaji, alikuwa anaenda kurenew passport, ghafla nikakutana na shemeji yangu mmoja (shemeji asiye na undugu) mitaa ya mjini. Nikamwambia tuna haraka, alivyohojihoji, nikamjibu, namsindikiza jamaa yangu Uhamiaji, anaenda kurenew passport, yeye anaishi USA, ghafla macho yake yakahamia kwa jamaa, mara akamsalimia tena kwa kumshika mkono, alikuwa anaenda uelekeo tofauti akatufuata sasa. Wakati wa kuachana akaniomba namba, nikampa. Dakika kama tano baadaye naona text message "Huyo jamaa ana issue gani USA?", nikamwambia anafanya kazi. Akaniuliza "Ameoa", duh nikajisemea hii mbona sio heshima, nikamjibu bado amesema akipata mke pia anaoa. Oohooo, akajibu, "mwambie aje mimi nipo bwana natafuta mchumba au sio shem". Nikamjibu, na mme wako je, maana kwa kumbukumbu zangu ni kama ulishaolewa? Akajibu, "mtu mwenyewe haeleweki", nikajisemea huyu vipi, nikawa kimya kwa muda, baadaye akajibu, "Kwanza mwenye kisu kikali ndiye anayekula nyama, shangaa". Nilipigwa butwaa, nikamjibu nitamwambie akutafute, akajibu "Kama vipi nipe namba yake". Niliishia hapo.

Sasa wanaume wa USA mna nini? Mbona wanawake wanapagawa sana na nyie, kwa nini? Mfano, baharia kila leo ameambatana na lundo la wasichana pamoja na uzee wake wote, kisa aliwahi kutua USA, najiuliza mna nini jamaa zangu nyie? USA kuna uchawi wa kunasa wanawake nchini Tanzania?

USA Baby!

Na wanawake wa Marekani je?
 
Naelewa...
Its hard to believe. Ivi madem wakibongo unawaelewa lakini ??

Ivi unafkiri mfano msomi mwenye mpaka MSc mwenye kibarua bank ana push ki IST sijui Spacio utamlinganisha na msela anayekaa masaki ana push beema au autobiography ya mshua wake ??

Ivi yan kabisa unafkiri watakua wanang'oa madem wa standard sawa ?? Niulize chochote kuhusu Central London nikujibu.

Dude we ngoja wakugongee dem wako utakuja kunielewa.
Ha ha ha comments zako huwa zinanifurahisha sana.
 
Thats a no brainer....Nimeku-challenge tu kwasababu ulisema ZA KARIAKOO ZIMETENGENEZWA CHINA, ilhali wewe na mimi najua hata za US/UK zimetengenezwa China ILA KWA STANDARD TOFAUTI.

Okay.
 
Back
Top Bottom